Nimecheka sana.Wajinga huwa tunawambia huwezi kutajirika kwa kazi halali, huku mitandaoni utadanywa Sana Bamia zinalipa, Parachichi ni utajiri🤣🤣
😄Nimecheka sana.
Sababu nimelima bamia mavuno yanaanza bei ikaporomoka ghafla..
Mtandaoni mbona wanasema kilimo kinalipa?🤔Nimecheka sana.
Sababu nimelima bamia mavuno yanaanza bei ikaporomoka ghafla..
Kilimo kigumu sana.Mtandaoni mbona wanasema kilimo kinalipa?🤔
Inaelekea kwenye uingizaji wa mbolea,huwa anachomekea mizigo....piaKwahiyo kuuza mbolea ni biashara ya kuzugia
Zambia mbali,Mbagala tuu haufiki!Alafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!
nashukuru.Mkuu
Id yako na ulichoandika vinafanana sikupingi
Hao hawasemi kuna changamoto.Mtandaoni mbona wanasema kilimo kinalipa?🤔
Dah! Watu wana roho ngumuInaelekea kwenye uingizaji wa mbolea,huwa anachomekea mizigo....pia
Hawa watakuwa wamechomana..
Maana mzigo kama huo ukifika ICD lazima waje watu wa security ukaguzi,kontena linafunguliwa seal ...watu wanachkua chao seal inarudushiwa maisha yanaendelea
Ova
Hakika! PoleHao hawasemi kuna changamoto.
Wanahesabu faida za kinadharia kwenye karatasi tu.
Anaon
Wakati unakuma Ndoo ilikuwa elfu 12, inakuja kuvuna Bei elfu tano, hata Hela ya kukodi Shamba na gharama ya mbolea hairudi, achilia mbali muda na nguvu zako ulizopotezaNimecheka sana.
Sababu nimelima bamia mavuno yanaanza bei ikaporomoka ghafla..
Asante.Hakika! Pole
Sikufanya kosa kuweka kambi hapa. Asante sana.maisha yanaendelea
NRM Agro Limited na wenzake wanadaiwa kuingiza shehena ya madawa ya kulevya aina ya Mitragyna Specioza uzito wa kilo 11, 596
Jamaa fala kweli kwenye nyimbo yake mpya hii kuna mistari anajisifia kabisa ku supply nilisikia hadi nikawaza huyu bwege anajiamini vp, hata dogo hamidu ngoma yake moja anasema.. wanao sniff na ku snore me ndo nawa control, pesa hua inampa mtu kiburi cha kijinga wanajisahau kabisa au labda wanafkiri wametumia tafsida watu hatuwezi elewa.Billnas huyo
Mkuu Bush Dokta jaribu kuedit comment yako maneno ya Kwanza ya paragraph yakoWakati unakuma Ndoo ilikuwa elfu 12, inakuja kuvuna Bei elfu tano, hata Hela ya kukodi Shamba na gharama ya mbolea hairudi, achilia mbali muda na nguvu zako ulizopoteza
Wakamatwe tu!Jamaa fala kweli kwenye nyimbo yake mpya hii kuna mistari anajisifia kabisa ku supply nilisikia hadi nikawaza huyu bwege anajiamini vp, hata dogo hamidu ngoma yake moja anasema.. wanao sniff na ku snore me ndo nawa control, pesa hua inampa mtu kiburi cha kijinga wanajisahau kabisa au labda wanafkiri wametumia tafsida watu hatuwezi elewa.
Haya mambo yanafanyika sana tena Kuna Kuna wamiliki wa ICD kadhaa ndy michezo yao,we watonye tu una mizigo siyoo wao watajuwa namna gani wanakutengenezea mazingira haya mambo yanaenda na connectionSikufanya kosa kuweka kambi hapa. Asante sana.