Kigoma: Baadhi ya wakazi wagoma kulipa huduma ya maji wakidai ni ya Mungu

Warundi [emoji848] kuna raia wa kigeni wanaishi huko kigoma?
Wali migrate kutoka huko Burundi kukimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe waka settle kg.

Ukienda kule tanga amboni wapo masalia walioletwa kama nguvu kazi kukata mikonge bado wanaitwa warundi hawajabadilika kuwa wasambaa kwa lugha yao ni Kirundi.

40%ya watu Wa kigoma originated Burundi na Congo.
 
Mabomba, Pump, yote hayo Nani anagharamia? ILA maji kweli ni ya Mungu β€œHapo nakubali”
 
Vp kuhusu usafi 😁😁😁
 
Wasukuma wapo Tanzania nzima..sijui utaenda wapi nchi hii usiwakute.

#MaendeleoHayanaChama
Haya hapa kwangu yupo Msukuma naishi nae ananisaidia kuchunga ng,ombe anaitwa Malulu,sema jamaa wanapenda utani ni watani Wa kila kabila hapa Tanzania sio wagonvi kabisa.
 
Hakuna cha Elimu wala nini! Hakuna watu wabishi kama wakazi wa Kigoma!!
Akishasema: "Akayeeee magabo, akayeee!! Jua imetoka
 
Haya hapa kwangu yupo Msukuma naishi nae ananisaidia kuchunga ng,ombe anaitwa Malulu,sema jamaa wanapenda utani ni watani Wa kila kabila hapa Tanzania sio wagonvi kabisa.
Wasukuma sio wagomvi..ni watu wa matani sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wasukuma sio wagomvi..ni watu wa matani sana.

#MaendeleoHayanaChama
Wanasemaga makabila yote Tanzania ni watani wao,hata wanaume wasukuma 70%wanaongea ile soprano's voice, hawanaga Bass.

Unakuta jamaa limepanda hewani balaa alafu likubwa ila ajiongea kasauti kembamba eti hiiiiiii bhebhe ndhobho shida,MTU Wa hivi ananzaje kuwa mgonvi?,ila Wa gheita bhana.
 
Hii nchi haiishi vituko. Sasa wanategemea gharama za kuyatibu zinatoka kwa nan kama wasipolipia wao? Ama wawaache wawe wanavuna ayo maji wenyewe na kuyatreat na kuyasambaza kwa gharama zao wenyewe ?
Zinatoka mbinguni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ameshindwa kzi, kwanini asiwakatie huduma
 
Hii nchi haiishi vituko. Sasa wanategemea gharama za kuyatibu zinatoka kwa nan kama wasipolipia wao? Ama wawaache wawe wanavuna ayo maji wenyewe na kuyatreat na kuyasambaza kwa gharama zao wenyewe ?
Kwa kuwa wanalipa kodi basi hii ilitakiwa iwe huduma zaidi kuliko biashara,
Sema maji nayo ni ghalii kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…