Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Umechanganyikiwa wewe,Ila kuhusu wanawake wazuri hakuna
ANGALIZO: kigoma si sehemu salama sana ya kuoa
Nilimo! nilipata mchumba wa kutoka Manyovu kijiji cha Mukigo, baadae tuka differ hahahahahaha
Hahaaa nasikia ubishi ukitokea mnafanya kupokezana
Ila sikufanya naye "matusi" hahahahahahahhahahahahahaah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeKwa hiyo wewe ni X-Shemeji eeh.
Manyovu sijawahi kufika, inabidi nijipange nifike Manyovu aisee.
Ila sikufanya naye "matusi" hahahahahahahhahahahahahaah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu miee
hahahahahahahahahahhaaha, ngo umenichekesha waaalahi!Haijalishi kama mlifanya, ushemeji si unaendelea kuwepo jamani, halafu ushemeji hauna x, kama ulikuwa shemeji unaendelea kuwa shemeji.
hahahahahahahahahahhaaha, ngo umenichekesha waaalahi!
ahahahahahha, mbona "shemeji" tehe tehe teheNimekuchekesha nini tena shemeji?
Ulamenya amabhungo wa gihungu
ahahahahahha, mbona "shemeji" tehe tehe tehe
You know mtani nasisi inabidi tuje kuwasaidia kujadiliHey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
hayaaaaaaaaaa urakoze urakoze, leka dutigiteWewe umesema ulikuwa na mchumba Muha, kwa hiyo wewe ni shemeji yangu.
Na tumeshakubaliana ushemeji hauna x. Hakuna mambo ya x shemeji.
hayaaaaaaaaaa urakoze urakoze, leka dutigite
Hapana mimi sio msukuma, mimi ni MPARE halisi from Kilimanjaro. Mwanza natafuta tu mkate wa kila sikuUrakoze chane. Wewe ni Ulimhola, nahene, gete gete.