Kigoma JF users connect

Nilimo! nilipata mchumba wa kutoka Manyovu kijiji cha Mukigo, baadae tuka differ hahahahahaha
alikukosea huyo, nyie si mnapenda kupigwapigwa kama ngoma?

ungenipata mimi ningekuwa nakudunda kiroho mbaya na hospitali kuweka hogo nakupeleka kiroho safi
 
kaye nsimenya

Ni njia ya kuchoma viazi kwa kutumia mfano wa tanuru la udungo, vile vipande vipande vya udongo kwenye kulima mnavitengeneza kama tanuru, mnachoma kwa kutumia mabua makavu mpaka ule udongo upate moto hasa, baada ya hapo unarusha viazi kwa ndani ya tanuru na unaponda ponda madongo yale, hapo viazi vinaivia kwa ndani.

Kesho yake asubuhi ndo mnakuja kufukua viazi vikiwa vimeiva safi.
 
yebhabhawe kumbe nintyo
 
Raimundo njoo unitafsirie please!

Anasema hapa inatakiwa tuongee kiha tu, analalamika kuna Kiswahili, Kiingereza, Kiha humu humu kwenye thread.

Na ametaja kwamba kuna kiha cha Kibondo, Mabamba, Heru, Basanza (kiswahili tunaita Lahaja kama sijakosea).


BTW: Jukwaa inabidi tuchanganye lugha ili watu waione tunawatenga, pia kuna waha ambao hawajakulia Kigoma au hawajui kiha kwa namna moja ama nyingine nao wangependa kujumuika.

cc Safari Safi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwika mate yakaniniga weee acha nihangaike[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
lkn cdhani kama kulik
lkn sidhani kama kulikua na haja sana ya kuanzisha thread ya kikabila au ukanda au mkoa mnaotokea.....jamii forum is for great thinkers....
 
Mi niko Kasulu, kwa hiyo ruti itakuwa ya Kibondo, Nyakanazi (jimboni kwa Magu), Biharamulo, Geita, Sengerema, ila pale kwenye kivuko ndo sipapendagi mimi. Naogopa meli.
Weee kasulu sehemu gani?? Tuanzie hapo kwanza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwika mate yakaniniga weee acha nihangaike[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Ha ha ha, halafu kuna ile unazuga hugombani kwa sababu ni jirani na nyumbani kwa adui, kumbe unamgwaya jamaa.
 
Jaman huu uzi haubagui kanda tuelewane vi zuri.
Kama ww ni wa kigoma mjini, kasulu, kibondo, uvinza, kigoma kusini, kigoma kaskazini pamoja na mwamgongo etc huu uzi unakuhusu. Ama nini mazee.Ingo tugambe viwachu vyi kigoma.
Ilankunda1234
Aho ndashimyeee leloooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Guma nzee kwisesa ndobha dobhe[emoji159] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
A
Aisee bahati mbaya simu yangu inashindwa ku upload picha ningeweka akajionea mwenyewe mjabosi ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…