Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

Mnaojidanganya kwenda kigoma kutuharibia wasichana hayo yatawatokea mapuani.
Kuna mtindo wa kubebeshana/kubebeana ( ukwegulila)
Yaani wakigundua umemsex wanakuletea umuoe kwa lazima.
 
Nakuona kabisa umekua Dalali naunaeleke kutupiga hela lakin kinamna flani umenishawishi. Chief utanikuta pm@Father of all Snipers,
 
Shida ya waha ni uchafu

Anaweza kuwa na bonge la nyumba ila mbuzi na bata wanaingia mpaka sebuleni
 
Shida ya waha ni uchafu

Anaweza kuwa na bonge la nyumba ila mbuzi na bata wanaingia mpaka sebuleni
Kwenye hili mkuu wala hujakosea. Demu anapigwa mgegedo wa usiku anamwagiwa manii halafu hajioshi mpk asubuhi
 
Kuna binti mmoja wa kasulu muha ananisumbua hatari,yule binti ni mzuri wa tabia mpaka shepu ila hakuwa ameingia kwenye zile type zangu ninazopenda na ndio iliyosababisha tushindwane
Huyo alitarget kukugeuza Mhisani bora ulivyo jikata mapema!
 
Nilikua nanunua soko la mnarani kabla waislamu hawajachukua eneo lao mkuu...unalikumbuka hilo soko?
Yeah nalikumbuka sana! Lakini Mamlaka mwaka jana mwishoni waliruhusu hilo soko la Mnarani liendelee kuwepo pale tena.
 
Back
Top Bottom