Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

Ohoooo ndio maana mnyalukolo wewe unampigia debe poacher awe MP wa Iringa!,nimekuelewa kuwa miaka 50 ya nchi kutawaliwa na chama dola,Iringa ndio inazidi kuwa ya ovyo
Miaka 33 toka chadema ianzishwe mmekula hela za Sabodo, ruzuku, michango ya wabunge, mmepitisha vilambo kwenye mikutano yenu, mmekula hela za join the chain...mpaka leo hii hamna ofs na ndugu yenu aliyekuwa iringa mjn hakujenga hata ofs, hata km 1 la lami matapeli nyie...Bora tutafute matajir nyie wezi hatuwataki tena
 
Sema kibondo na kasulu ni majimbo magumu Sana kwa chadema wale kina mama wawili dr.samizi na prof Ndalichako wanakubalika Sana maeneo hayo na wako jirani Sana na wananchi wao
 
Maneno ya mkosaji,Peoples Pawaaaaaaaaaaa.
 
Ok mkuu let's debate na usiingize jazba relax, tujadili nchi nzima na mkoa wa Iringa, binafsi nimetembelea wilaya zote na almost kata zote, Njombe tujifanye haipo, Iringa ikiwa na wilaya za Ludewa, makete,njombe, mufindi,iringa M&V,Dai lako hapo juu hakuna hata cent ya kodi yetu, wananchi wamejitolea, ccm kwa miaka zaidi ya 60 iliyopita imekusanya kodi zetu ambazo zimewanufaisha royal families, corrupt business peoples including poacher wako mkuu wa hapo Iringa, yeye anafikiri amejificha binafsi najua fedha yake hajaitengeneza kihalali.
 
Sawa mkuu .. Ila hebu niambie ukweli kwenye hii nchi toka 1992 nyiny chadema mpaka Sasa mmefanya nn ambacho unaweza ukakaa na ukakisemea kwa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…