Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalinzi then Nyarubanda👏👏
Cham cha watu.....kipo kazini
Ohoooo ndio maana mnyalukolo wewe unampigia debe poacher awe MP wa Iringa!,nimekuelewa kuwa miaka 50 ya nchi kutawaliwa na chama dola,Iringa ndio inazidi kuwa ya ovyoUkiona chopa hivi Kama ni mgeni unaweza sema hiki chama ni cha madon balaaa.....kumbe ofs ya makao makuu ukiisukuma kidogo tu chalii.
PowerPeople's
Ccm ni chama kilichopoteza matumaini ya watanzaniaOhoooo ndio maana mnyalukolo wewe unampigia debe poacher awe MP wa Iringa!,nimekuelewa kuwa miaka 50 ya nchi kutawaliwa na chama dola,Iringa ndio inazidi kuwa ya ovyo
Miaka 33 toka chadema ianzishwe mmekula hela za Sabodo, ruzuku, michango ya wabunge, mmepitisha vilambo kwenye mikutano yenu, mmekula hela za join the chain...mpaka leo hii hamna ofs na ndugu yenu aliyekuwa iringa mjn hakujenga hata ofs, hata km 1 la lami matapeli nyie...Bora tutafute matajir nyie wezi hatuwataki tenaOhoooo ndio maana mnyalukolo wewe unampigia debe poacher awe MP wa Iringa!,nimekuelewa kuwa miaka 50 ya nchi kutawaliwa na chama dola,Iringa ndio inazidi kuwa ya ovyo
Maneno ya mkosaji,Peoples Pawaaaaaaaaaaa.Miaka 33 toka chadema ianzishwe mmekula hela za Sabodo, ruzuku, michango ya wabunge, mmepitisha vilambo kwenye mikutano yenu, mmekula hela za join the chain...mpaka leo hii hamna ofs na ndugu yenu aliyekuwa iringa mjn hakujenga hata ofs, hata km 1 la lami matapeli nyie...Bora tutafute matajir nyie wezi hatuwataki tena
Mmh sidhani may be. Kinachotakiwa ni Katiba Mpya na tume huruSema kibondo na kasulu ni majimbo magumu Sana kwa chadema wale kina mama wawili dr.samizi na prof Ndalichako wanakubalika Sana maeneo hayo na wako jirani Sana na wananchi wao
Maneno ya mkosaji,Peoples Pawaaaaaaaaaaa.
Safi sana ndiyo Tanzania tuliyokuwa tunaitaka.
Kama wamejazana hivyo kuangalia hiyo ndege watakuwa na uwezo gani wa kuuliza hadi watu wapoteane?Ruhusuni hao watu waulize maswali mtagongwa maswali mpaka mpoteane....hapo wanakuja kushangaa hyo ndege tu
Mama anazidi kukonya nyonyoSafi sana ndiyo Tanzania tuliyokuwa tunaitaka.
🤣🤣🤣hana cha kusema. Anapenda umbeya tu
Ok mkuu let's debate na usiingize jazba relax, tujadili nchi nzima na mkoa wa Iringa, binafsi nimetembelea wilaya zote na almost kata zote, Njombe tujifanye haipo, Iringa ikiwa na wilaya za Ludewa, makete,njombe, mufindi,iringa M&V,Dai lako hapo juu hakuna hata cent ya kodi yetu, wananchi wamejitolea, ccm kwa miaka zaidi ya 60 iliyopita imekusanya kodi zetu ambazo zimewanufaisha royal families, corrupt business peoples including poacher wako mkuu wa hapo Iringa, yeye anafikiri amejificha binafsi najua fedha yake hajaitengeneza kihalali.Miaka 33 toka chadema ianzishwe mmekula hela za Sabodo, ruzuku, michango ya wabunge, mmepitisha vilambo kwenye mikutano yenu, mmekula hela za join the chain...mpaka leo hii hamna ofs na ndugu yenu aliyekuwa iringa mjn hakujenga hata ofs, hata km 1 la lami matapeli nyie...Bora tutafute matajir nyie wezi hatuwataki tena
Sawa mkuu .. Ila hebu niambie ukweli kwenye hii nchi toka 1992 nyiny chadema mpaka Sasa mmefanya nn ambacho unaweza ukakaa na ukakisemea kwa watu.Ok mkuu let's debate na usiingize jazba relax, tujadili nchi nzima na mkoa wa Iringa, binafsi nimetembelea wilaya zote na almost kata zote, Njombe tujifanye haipo, Iringa ikiwa na wilaya za Ludewa, makete,njombe, mufindi,iringa M&V,Dai lako hapo juu hakuna hata cent ya kodi yetu, wananchi wamejitolea, ccm kwa miaka zaidi ya 60 iliyopita imekusanya kodi zetu ambazo zimewanufaisha royal families, corrupt business peoples including poacher wako mkuu wa hapo Iringa, yeye anafikiri amejificha binafsi najua fedha yake hajaitengeneza kihalali.