WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Bunge la leo lina watu wanaojielewa?Wasiojielewa ndo watashabikia chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge la leo lina watu wanaojielewa?Wasiojielewa ndo watashabikia chadema
Wale waliokuwa wanatoka inje ya bunge ndo walikuwa hawajielewiBunge la leo lina watu wanaojielewa?
Kila siku mnalia na tozo,maisha kuwa magumu,bidhaa kupanda,kumpoteza Magufuri mambumbumbu ninyi.Wale waliokuwa wanatoka inje ya bunge ndo walikuwa hawajielewi
Nani analia na Tozo....hzo tozo si ndo mnazungukia na chopa huko Kigoma... Ruzuku kidogo tu mnapaki magariKila siku mnalia na tozo,maisha kuwa magumu,bidhaa kupanda,kumpoteza Magufuri mambumbumbu ninyi.
Wewe si mjinga tu wanaccm wenzio wnalia na maisha magumu huku wakimlaumu Mbowe kuungana na Rais Samiah wakisema amelambishwa asali kwa kutotetea wananchi wakati mtu wenu wa Chato aliapa kutowarudisha Bungeni,ninyi ni wapumbavu tu hamweleweki.Nani analia na Tozo....hzo tozo si ndo mnazungukia na chopa huko Kigoma... Ruzuku kidogo tu mnapaki magari
Kama maisha magumu hyo chopa inayoruka hewani inatumia uchawi au...hujui kwa saa inatumia $2300 zidisha Mara mwezWewe si mjinga tu wanaccm wenzio wnalia na maisha magumu huku wakimlaumu Mbowe kuungana na Rais Samiah wakisema amelambishwa asali kwa kutotetea wananchi wakati mtu wenu wa Chato aliapa kutowarudisha Bungeni,ninyi ni wapumbavu tu hamweleweki.
Wanaolia si ninyi ccm? Sisi uhuru tangu 17.03.2023 ndiyo maana tunatamba nchi nzima.Kama maisha magumu hyo chopa inayoruka hewani inatumia uchawi au...hujui kwa saa inatumia $2300 zidisha Mara mwez