Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

Nani analia na Tozo....hzo tozo si ndo mnazungukia na chopa huko Kigoma... Ruzuku kidogo tu mnapaki magari
Wewe si mjinga tu wanaccm wenzio wnalia na maisha magumu huku wakimlaumu Mbowe kuungana na Rais Samiah wakisema amelambishwa asali kwa kutotetea wananchi wakati mtu wenu wa Chato aliapa kutowarudisha Bungeni,ninyi ni wapumbavu tu hamweleweki.
 
Kama maisha magumu hyo chopa inayoruka hewani inatumia uchawi au...hujui kwa saa inatumia $2300 zidisha Mara mwez
 
Back
Top Bottom