Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekuza demokrasia ya vyama vingi, wananchi wamepata alternative ya chama dola, CDM imeifanya ccm ianze kuwajibika kwa wananchi maana ccm wameshaiona CDM ni serikali in waiting, CDM kimejipambanua kama mwakilishi halali wa poor of the poorest (ccm inajali zaidi royal families)katika kuwapigania maisha bora, sasa mkuu niambie ccm imeifanyia nini nchi yangu kwa muda wa miaka 60 ya kututawala sio kutuongozaSawa mkuu .. Ila hebu niambie ukweli kwenye hii nchi toka 1992 nyiny chadema mpaka Sasa mmefanya nn ambacho unaweza ukakaa na ukakisemea kwa watu.
Ndalichako kaanza lini kukubalika wakati alibebwa tu na mbeleko ya Chuma ?Sema kibondo na kasulu ni majimbo magumu Sana kwa chadema wale kina mama wawili dr.samizi na prof Ndalichako wanakubalika Sana maeneo hayo na wako jirani Sana na wananchi wao
Hatimaye jeshi la Polisi kimeanza kupata furaha tena !
Hakuna muundombinu wwote...nahs hlo swali nikiwauliza ACT watanipa majibu mazuri zaidi... mkuu sawa Ila sjaridhika na majibu yako.Tumekuza demokrasia ya vyama vingi, wananchi wamepata alternative ya chama dola, CDM imeifanya ccm ianze kuwajibika kwa wananchi maana ccm wameshaiona CDM ni serikali in waiting, CDM kimejipambanua kama mwakilishi halali wa poor of the poorest (ccm inajali zaidi royal families)katika kuwapigania maisha bora, sasa mkuu niambie ccm imeifanyia nini nchi yangu kwa muda wa miaka 60 ya kututawala sio kutuongoza
Angalau na wao wana furaha yule jamaa alitaka kutuharibiaHatimaye jeshi la Polisi kimeanza kupata furaha tena !
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Muundombinu gani unaoutaka ?,CDM hawakusanyi kodi ,jibu swali langu ccm mmeifanyia nini nchi hii,?mnakula tu pie ya taifa kwa wateule wachache, Elimu mmeua ila watoto wenu (royal families)wanasoma canada, uk, usa, uctHakuna muundombinu wwote...nahs hlo swali nikiwauliza ACT watanipa majibu mazuri zaidi... mkuu sawa Ila sjaridhika na majibu yako.
Akikujibu niko pale nimekaaMuundombinu gani unaoutaka ?,CDM hawakusanyi kodi ,jibu swali langu ccm mmeifanyia nini nchi hii,?mnakula tu pie ya taifa kwa wateule wachache, Elimu mmeua ila watoto wenu (royal families)wanasoma canada, uk, usa, uct
hizo speaker mnara mrefu kuliko Airtel🤣🤣
Hahaha nimeshangaa commenti ya Jamaa.Ndalichako kaanza lini kukubalika wakati alibebwa tu na mbeleko ya Chuma ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwani watoto wa makam Mwenyekiti wako wanasoma wapi? Hizi barabara zinazo unganisha mikoa na wilaya mlijenga nyie makamanda? Hizi shule za kata mlijenga nyie makamanda kwanza kwenye ujenzi nyny hamna experience kwasabu mpaka Sasa hamna ofs,Muundombinu gani unaoutaka ?,CDM hawakusanyi kodi ,jibu swali langu ccm mmeifanyia nini nchi hii,?mnakula tu pie ya taifa kwa wateule wachache, Elimu mmeua ila watoto wenu (royal families)wanasoma canada, uk, usa, uct
Sio real estate mkuu ni chamaUkiona chopa hivi Kama ni mgeni unaweza sema hiki chama ni cha madon balaaa.....kumbe ofs ya makao makuu ukiisukuma kidogo tu chalii.
Angalau na wao wana furaha yule jamaa alitaka kutuharibia
Chama toka 1992 hakina legacy yyte sjui kama hata ofs yenu kule ufipa Kama ina tiles maana choo chenyewa toka nyumba inapojengwa no repairmentSio real estate mkuu ni chama
Kupanga ni kuchagua badala uzungumzie jinsi kinavosumbua ccm yenye jeshi na hadi kuua watuChama toka 1992 hakina legacy yyte sjui kama hata ofs yenu kule ufipa Kama ina tiles maana choo chenyewa toka nyumba inapojengwa no repairment
Kila leo CHADEMA inavuna makundi ya watu mbalimbali kutoka mikoa tofauti nchi nzima,kutoka kwenye chama cha wasomi na kuwa chama cha Watanzania wote.Sawa mkuu .. Ila hebu niambie ukweli kwenye hii nchi toka 1992 nyiny chadema mpaka Sasa mmefanya nn ambacho unaweza ukakaa na ukakisemea kwa watu.
Wasiojielewa ndo watashabikia chademaKila leo CHADEMA inavuna makundi ya watu mbalimbali kutoka mikoa tofauti nchi nzima,kutoka kwenye chama cha wasomi na kuwa chama cha Watanzania wote.