Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa??

Izo statistics zinakua much less relevant na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja hayo mapatoyanakua affected na population size

Kuna mtu yupo Sumbawanga anamaisha Bora kuliko aliyeko Kinondoni.

Dar Kati ya watu 10 wenye 30+ yrs watu 7 ni maskini.

Sumbawanga Kati ya watu 4 mmoja ndio maskini
 
Halafu tuwekee na idadi ya watu waliochangia hayo mapato kwa kila manispaa ili tuone uwiano.

Sio watu milioni 1 wamechangia 4B halafu watu laki 2 wakachangia 1B ikaonekana hawa wa 4B wamezalisha nyingi kuliko hao wa 1B.
kukosa watu ni failure kwa mkoa
Jiulizeni kwann unakosa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…