R roadmaster JF-Expert Member Joined Mar 21, 2023 Posts 1,609 Reaction score 2,751 Aug 17, 2024 #21 Kigoma inaponzwa na ubishi na ushamba !! Lindi inaponzwa nankuikumbatia CCM!!!jamii yoyote inayoikumatia CCM huishia katika Lindi la ufukara,elimu duni,makazi duni!! Nk
Kigoma inaponzwa na ubishi na ushamba !! Lindi inaponzwa nankuikumbatia CCM!!!jamii yoyote inayoikumatia CCM huishia katika Lindi la ufukara,elimu duni,makazi duni!! Nk
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Aug 17, 2024 #22 Hawana tofauti na Haiti Wanaamini sana ushirikina zaidi kuliko kazi