Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Wao hawataki hata uishi kama wao. Wanataka uondokeMiji ya kiswahili mingi ndivyo ilivyo,ukifika huko wanakulazimisha uishi kama wao, na maendeleo hayataki akili moja,vumilia tu mkuu.
Nenda kamuone Juma Njemba atakusaidiaSisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana.
Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine Kuanzia Maofisini Hadi mitaani.
Kama wewe ni mwenyeji wa mkoa mwingine na unafanyia kazi hapa au uliwahi kufanya kazi Mkoani Kigoma Nina uhakika utakubaliana na mimi.
Huku ni mwendo wa uzushi na majungu tu.
Jamii ya kiduwanzi sana hii
Hao ni waha tu. Hao jamaa sijui wana shida gani nina uzoefu nao. Mimi nadhani ni ujinga tu kwa sababu ya kukosa exposureSisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana.
Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine Kuanzia Maofisini Hadi mitaani.
Kama wewe ni mwenyeji wa mkoa mwingine na unafanyia kazi hapa au uliwahi kufanya kazi Mkoani Kigoma Nina uhakika utakubaliana na mimi.
Huku ni mwendo wa uzushi na majungu tu.
Jamii ya kiduwanzi sana hii
This is very helpfulPoleni sana:
1. Fanya kazi kwa bidii.
2. Mind your own business.
3. Usiingilie mambo ya watu
..... Utaweza ishi popote, muangalie kila mtu kama mshindani na adui yako, usimwamini mtu.
Kweli mkuu. Muha ana uwezo wa kukuchukia na kukupiga vita bila sababu YEYOTEHao ni waha tu. Hao jamaa sijui wana shida gani nina uzoefu nao. Mimi nadhani ni ujinga tu kwa sababu ya kukosa exposure
Ukienda sehem ngeni ishi kama wao, ukienda against hutadumu, hiyo ni ulimwengu mnzima siyo kigoma tu.
Labda ujitenge kabsa na hiyo jamii kama wanavofanya wawekezaji wao wanadeal na mambo yao yaliyowapeleka eneo Hilo.
📌Siyo rahisi kuishi kama wao. Maana wao hawana mtazamo kama wako. Ukijichanganya, usimlaumu mtu. Wala pia usimtafute mchawi.
MdwanZi ishi nae kiduanzi....Jamii ya kiduwanzi sana hii
SurelyMdwanZi ishi nae kiduanzi....
siku zote huwa ni ngumu sana kwa wafanyakazi wa umma kufanya kazi maeneo yenye watu wanaoringia uchawi, kufuga majini, umwinyi n.k. ni shida ndio maana maeneo hayo yamebaki masikini wa kutupwa.Sisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana.
Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine Kuanzia Maofisini Hadi mitaani.
Kama wewe ni mwenyeji wa mkoa mwingine na unafanyia kazi hapa au uliwahi kufanya kazi Mkoani Kigoma Nina uhakika utakubaliana na mimi.
Huku ni mwendo wa uzushi na majungu tu.
Jamii ya kiduwanzi sana hii
Kweli mkuu. wenyeji wa Kigoma wana mambo ya kiwaki sanasiku zote huwa ni ngumu sana kwa wafanyakazi wa umma kufanya kazi maeneo yenye watu wanaoringia uchawi, kufuga majini, umwinyi n.k. ni shida ndio maana maeneo hayo yamebaki masikini wa kutupwa.
Naungana na wewe 💯Hii ni kweli, Mungu awalinde, ukiona sehemu wanazungumza sana kikabila ujue maendeleo ni kidogo, ushirikina ni mwingi. Usiende kutafuta maisha sehemu ya hivo. Akhsante🙏