Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana

Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana

Itakuwa jamii ya mipakani mwa nchi ina asili ya hiyo hostility.

Kuna binti alihamishiwa Ngara huko mpakani kabisa kwa Wahangaza akawa ananipa michapo yao.

Hata biashara ya asiye mzawa walikuwa wanaibagua kipindi kile na ilikuwa mbinde kuoana na kumuuzia ardhi wa kuja bora kwa sasa wanabadilika kutokana na mwingiliano kuendelea kuwa mkubwa ukizingatia hiyo jamii ndiyo hub ya mabeki tatu kwa sasa ukanda huo.
 
Wengi wetu hasa watumishi wa umma mnapenda sana....umbea,majungu kujifanya viongozi kutaka kuongoza watu..

Mkikutana na vichwa vigumu...mnaanza kulialia kama hivi

...JALI MISHE ZAKO TU...HATOKUFATA MTU.
 
Itakuwa jamii ya mipakani mwa nchi ina asili ya hiyo hostility.

Kuna binti alihamishiwa Ngara huko mpakani kabisa kwa Wahangaza akawa ananipa michapo yao.

Hata biashara ya asiye mzawa walikuwa wanaibagua kipindi kile na ilikuwa mbinde kuoana na kumuuzia ardhi wa kuja bora kwa sasa wanabadilika kutokana na mwingiliano kuendelea kuwa mkubwa ukizingatia hiyo jamaa ndiyo hub ya mabeki tatu kwa sasa ukanda huo.
Eti hub ya mabeki tatu.
 
Inawezekana wazaramo ndio kibila lenye watu wenye roho nzuri kuliko makabila yote Tanzania ndio maana makabila yote Tanzania mzima Wana makazi Dar es salaam
 
Wengi wetu hasa watumishi wa umma mnapenda sana....umbea,majungu kujifanya viongozi kutaka kuongoza watu..

Mkikutana na vichwa vigumu...mnaanza kulialia kama hivi

...JALI MISHE ZAKO TU...HATOKUFATA MTU.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom