Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
-
- #21
Hawa majamaa ni wachawi sana napia wana maisha magumu sana
Juma njemba alishafariki mkuuuNenda kamuone Juma Njemba atakusaidia
Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani
Kuanzia katikati ya miaka ya themanini hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 huko mkoani Kigoma aliishi " fundi " mmoja aliye julikana kwa jina la Juma Njemba. Juma Njemba alikuwa MTU hatari sana katika masuala ya ulozi na alijikita zaidi katika kazi ya kuua watu kwa uchawi. Sifa za Juma Njemba...www.jamiiforums.com
Hivi na Tabora napo pako hivo.Wao hawataki hata uishi kama wao. Wanataka uondoke
Ndio walivo mkuu wakifuwatiwa na wale jamaa wa mbeya, kitu ambacho wengi hawafahamu mchagga hana shida.Kweli mkuu. Muha ana uwezo wa kukuchukia na kukupiga vita bila sababu YEYOTE
Eti hub ya mabeki tatu.Itakuwa jamii ya mipakani mwa nchi ina asili ya hiyo hostility.
Kuna binti alihamishiwa Ngara huko mpakani kabisa kwa Wahangaza akawa ananipa michapo yao.
Hata biashara ya asiye mzawa walikuwa wanaibagua kipindi kile na ilikuwa mbinde kuoana na kumuuzia ardhi wa kuja bora kwa sasa wanabadilika kutokana na mwingiliano kuendelea kuwa mkubwa ukizingatia hiyo jamaa ndiyo hub ya mabeki tatu kwa sasa ukanda huo.
[emoji3][emoji3][emoji3]Wengi wetu hasa watumishi wa umma mnapenda sana....umbea,majungu kujifanya viongozi kutaka kuongoza watu..
Mkikutana na vichwa vigumu...mnaanza kulialia kama hivi
...JALI MISHE ZAKO TU...HATOKUFATA MTU.