Wanaume wa dar wanaogopa panyaroad yaani panya 20 wanatawanya wanaume 200 wa dar na wanaume wa mikoani wanadundwa na wake zao hadi wanataka dawati la kuwatetea na kipondo.
Kabla ya kuoa ni vyema mchunguze mama mkwe wako ni bondia au ni mwanajeshi maana tabia za binti utoka kwa mama, Ili kuepuka mambo ya Urusi na ukraine kwenye ndoa.