Kigoma: Watu 6 wa familia moja wauawa kikatili usiku wa kuamkia Julai 3

Huko Kigoma Watu Watano Wa Familia Moja Wameuwawa Na Watu Wasiojulikana, Na Miili Yao Kuwekwa Kwenye Kitanda Walipokuwa Wamelala (Kila Mmoja Kwenye Chumba Chake)

Kamanda Wa Polisi Amethibitisha


Dodoma Nako Watu Kumi Na Moja Waliokuwa Kwenye Mkokoteni
Wamegongwa Na Gari Alfajiri Ya Leo Na Watu Saba Kupoteza Maisha
 
Moja ya vitu vilivyo niliza leo ni hii habari serikali iweke cctv nyumba baada ya nyumba maana Tanzania kwa sasa baadhi ya watu hawaogopi tena jela.
 
So sad.. Wapumzike kwa amani🙏
 
Si alisema yule alikuwa simba wa yuda ngoja tuone mwisho wake.
 
Huu ni zaidi ya unyama, hawa washenzi wakipatikana wachukuliwe hatua kali.
 
mimi tatizo likitokea huwa naangalia chanzo.

Mume kaua mchepuko wa mkewe, amefanya unyama mbaya sana.

ila tuseme ukweli Dada zetu na Mama zetu wengi walioolewa ni wachafu sana siku hizi. Wanaume wengi hawana raha tena na ndoa zao. wanawake kuchepuka imekuwa fashion na sifa. hizi simu kubwa zina malimbukeni wengi wanawake.

Jamii iwafunde kinadada na kinamama watulie kwenye ndoa zao.
 
Wanawake wa siku hizi hatari, ila mpaka mwanamke anachepuka ujue kuna shida ndani. Kuna ndoa nyingine ni manyanyaso jamani, mwanaume hatulii ndani, kazaa nje, vipigo ndani na matumizi ndio hivo hivo tu maana kashikiliwa huko mpaka kasahau mke na watoto. Sasa kupunguza stress mwanamke anajikuta kaangukia pabaya, hapo mume ndio atafanya yake. Kuna wanaoangukia kanisani yaani hao ni balaa pia maana anasema anaenda kusali kumbe anagongwa na wachungaji haya maisha haya mh
 
Aliyeua ni Mtanzania mwenye wivu imeshabainika.
 
Aliyeua ni Mtanzania mwenye wivu imeshabainika.
sawa, lakini bado Mkoa wa Kigoma una changamoto za wahamiaji haramu wanao ishi kiholela kitu ambacho ni tishio la usalama wa Mkoa wa kigoma na Tanzania kwa ujumla.
tusisubiri kutu kitokee ndipo tuchukue hatua, vyombo vyetu vinapaswa kuchukua hatua mapema ya kusfisha wahalifu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…