imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Too late,wameshatoboa hadi kwenye Taasisi nyeti, na hadi kwenye Umakamu wa Raisi.sawa, lakini bado Mkoa wa Kigoma una changamoto za wahamiaji haramu wanao ishi kiholela kitu ambacho ni tishio la usalama wa Mkoa wa kigoma na Tanzania kwa ujumla.
tusisubiri kutu kitokee ndipo tuchukue hatua, vyombo vyetu vinapaswa kuchukua hatua mapema ya kusfisha wahalifu wote.
Tumeshaukalia tusubiri tupigwe Mimba tu.