sawa, lakini bado Mkoa wa Kigoma una changamoto za wahamiaji haramu wanao ishi kiholela kitu ambacho ni tishio la usalama wa Mkoa wa kigoma na Tanzania kwa ujumla.
tusisubiri kutu kitokee ndipo tuchukue hatua, vyombo vyetu vinapaswa kuchukua hatua mapema ya kusfisha wahalifu wote.