Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

Wakawaulize wakenya obama alipokuwa rais wa marekani aliwasaidia nini japo walishangilia kama majuha wakiongozwa na MK254
 
Wakawaulize wakenya obama alipokuwa rais wa marekani aliwasaidia nini japo walishangilia kama majuha wakiongozwa na MK254

Mbona Chato leo vitu vimetamalaki, uwanja wa kimataifa, mbuga na mambo mengine mengi, kuna kautamu fulani Afrika tumeahajiwekea pale kiongizi ametokea kwenu.
Watu wa Butiama lazima hulaumu sana kwanini Nyerere alilala hakuelekeza home.
Waulize wa Msoga pia.
 
Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa.
FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.

View attachment 1739149

View attachment 1739155

View attachment 1739156
Heko kwenu. Naelekea Mbeya city then Kigoma

kevlon_jnr_1631077661113.jpg
 
Back
Top Bottom