hoja hapo iko wazi tu, na ni very clear,Hoja zenu sio za kutiwa maanani.
Kesho raisi akisema wapo kwenye mchakato unabadili gia angani kua anaupiga mwingi na kuanza kuokoteza faida za uraia pacha.
Mkuu una muda wa kujibishana na takataka hiyo ya CCM.Bahati mbaya sana sikaririshwi na binadamu yeyote nipo huru sana! Haya mambo ya vibaraka wa Ulaya na Marekani nimenza kuysikia nikiwa chipukizi wa ccm miaka ya mwisho ya 70 na 80, bado yapo kumbe! Vibaraka wa Uarabuni kama Oman, UAE, Saudia, nk hawapo? Mbn wabongo ni vibaraka tu wa levels zote na wapo tu hapo ndani? Hiyo amani unayoongelea itaharibiwa na Duality ni ipi? Una justification yoyote au ni yaleyale ya kuombea matajiri waishi kama shetani?
Hii nayo ni point kubwa, gov inawaogopa hawa watu sababu wakirudi watasambaza knowledge hatimae na wengine wataamka, they dont like itDIASPORA ni watu wanaojitambua na serikali yetu ya ccm huwa inataka kuwatawala wajinga ili itawale kwa mda mrefu
Ndio hizo mindset zinazo kwamisha hii nchi, wakati nchi zingine za kiafrika zinawatumia vizuri kunufaisha nchi ww unawaza reverseBig no...wabaki huko huko tu!
Tanzania balozi ya US ilishambuliwa 1998 je kulikuwa na uraia pacha mkuu?Wasiwasi wao Mkubwa ni hofu ya ugaidi pamoja na kukosekana Kwa uzalendo.
Huyo alikuwa anaongea kufifisha hoja hiyo.Hivyo vitu nimewahi kumsikia Mkubwa fulani akiviongea, wakati Kwa mara ya kwanza hoja ya Uraia pacha ikipigiwa chapuo miaka ile
Una madhara ambayo hayaonekaniUshauri wako ni Mzuri lakini ninacho shangaa Serikali Ya Tanzania kwa nini inaogopa Huo Uraia Pacha? Ungekuwa Uraia Pacha una madhara jirani zetu Wa-Kenya wasingekubali kuruhusu huo Uraia Pacha Bado sisi Wa-Tanzania tuko nyuma kila kitu ingelifaa tuige wenzetu majirani zetu Wa-Kenya walioruhusu Uraia Pacha.
Sipati picha Wakenya watakavyomiminika Tz.Siku ukikubalika tu nakuwa Mkanada
Hatutaki bakini huko huko tu au njooni mtuchukuediaspora gani wanaojitambua? nadhani kama tunasolve issue ya uraia tuongee ukweli na tuwathamini tu kwa sababu ni watoto wetu na hakuna madhara wakiwa na uraia pacha, ila ni diaspora gani anajitambua, tutajie hata mmoja tu. mange? is that the real picture?
Tanzania ina over protectionism isiyo na umuhimiu wowote na hii inatokana na sera za nyerere za ujamaa, nenda hata urusi au china uone kama kuna uraia pacha, wanaogopa kuliko chochote, sababu yao kuu ati mtu hatakuwa royal kwa serikali yake, wengine wanafikiri mtu akiwa na allegiance kwa nchi mbili atatoa siri za nchi. siri zipi sasa kama Tanzania au Africa hii ambayo Marekani akitaka kukujua hahitaji mtu wa ndani, atatumia mitandao tu anakufahamu hadi chooni kwako? ni kitu gani tunacholinda hasa hadi tuwakatae watoto wetu kaka zetu na dada zetu walioenda kutafuta maisha nje? tujifunze basi, nchi zenye uraia pacha zimepata madhara gani? mfano Kenya, Rwanda, Nigeria, Ghana, South Africa, Congo DR etc wamepata madhara gani? ati watu watakuja kuchukua ardhi, kwani wakichukua wakaiendeleza pakawa pazuri utaathirika nini? wanaondoka na ardhi? Dubai mbona kuna kila mtu na maendeleo yanaonekana ni ya wadubai? kwani mtu akija na pesa yake akaspend hapa si ameongeza mzunguko, uchumi na ajira? akili za wanaopinga uraia pacha ni finyu sana.
Hahaha ndio maana hairuhusiwi hata waburundi wote watahamia bongoSipati picha Wakenya watakavyomiminika Tz.
Waulize wa afgan watakwambia dual nationality only favours watawala.Uraia pacha una faida na hasara zake, kwa Tanzania hautufai.
Ushauri wako ni Mzuri lakini ninacho shangaa Serikali Ya Tanzania kwa nini inaogopa Huo Uraia Pacha? Ungekuwa Uraia Pacha una madhara jirani zetu Wa-Kenya wasingekubali kuruhusu huo Uraia Pacha Bado sisi Wa-Tanzania tuko nyuma kila kitu ingelifaa tuige wenzetu majirani zetu Wa-Kenya walioruhusu
Nchi nyingi duniani ziko kwenye mfumo wa uraia pacha, nina jamaa ambao wana citizenship ya nchi zaidi ya mbili. Tatizo lililopo utawala wa Bongo una uoga kwa kuwa wamezoea kuburuza raia, imagine unafanya mambo yako freely then watume vibwengo wao(wasiojulikana) ili wakuteke whilst una uraia pia wa USA au wa UK huo moto watakaowashiwa na embassy husika watajuta na huo ni mfano kiduchu tu kwani yako mengi. Halikadhalika watu ambao hawajatembea hata kama ni wasomi huwa in a way ni bongolala kwa kule tu kukosa exposure hivyo wanatawalika kirahisi yaani ni kama kuku mwenye mdondo sasa hawa ambao ni full exposure hawatakiwi wajazane kwani wengi wao wanajitambua vilivyo hivyo kuwapeleka mzobemzobe si kitu rahisi.Ushauri wako ni Mzuri lakini ninacho shangaa Serikali Ya Tanzania kwa nini inaogopa Huo Uraia Pacha? Ungekuwa Uraia Pacha una madhara jirani zetu Wa-Kenya wasingekubali kuruhusu huo Uraia Pacha Bado sisi Wa-Tanzania tuko nyuma kila kitu ingelifaa tuige wenzetu majirani zetu Wa-Kenya walioruhusu Uraia Pacha.
Ndio akili za chama chakavu, uliza wakupe sababu muhimu hawana kabisa.Ni akili chakavu tu sasa mtu kama ana uraia wa Canada na Tanzania na anapenda siasa kwa nini asifanyie Canada kwa wenye akili aje kufanyia shitholeni?
Kumbe ni mbunge nilihisi tuMkuu una muda wa kujibishana na takataka hiyo ya CCM.
Huyo nilipekeka ignore list muda with that kind of thinking ndio maana Tanzania iko nyuma from the word go!
Niliambiwa eti huyo ni mbunge na waziri , very mediocre.
Na ndio maana ule mkataba wa DP World kwa ubovu wake ule ulipita, kwa sampuli ya watu kama hao wala sikushangaa.Kumbe ni mbunge nilihisi tu
Kwa akili hizi tungetegemea nini mkuu? Tubaki kusugua goti maana tushafanya ndio solution ya kila kituNa ndio maana ule mkataba wa DP World kwa ubovu wake ule ulipita, kwa sampuli ya watu kama hao wala sikushangaa.
Hatuko nyuma Mkuu.Ushauri wako ni Mzuri lakini ninacho shangaa Serikali Ya Tanzania kwa nini inaogopa Huo Uraia Pacha? Ungekuwa Uraia Pacha una madhara jirani zetu Wa-Kenya wasingekubali kuruhusu huo Uraia Pacha Bado sisi Wa-Tanzania tuko nyuma kila kitu ingelifaa tuige wenzetu majirani zetu Wa-Kenya walioruhusu Uraia Pacha.
Mkuu mimi vijana waliokuwa wakisubiria miujiza ya uraia pacha wakati karatasi zimekaa sawa na kuna kazi zinakuja zinahitaji kubadili uraia mimi nilikuwa mstari wa mbele kuwaambia waache kusubiri akili chakavu za CCM ziwaamulie uzalendo na utaifa upo moyoni sio hizo propaganda mfu za miaka nenda rudi.Kwa akili hizi tungetegemea nini mkuu? Tubaki kusugua goti maana tushafanya ndio solution ya kila kitu
Hii siyo hoja. Hii ni dhana iliyo kichwani mwako. ''Kama....''Kama nia yao ni njema wabaki Watanzania waukane uraia wa Nchi zingine.