Plus the tweet ya huyo dada .. ya kumuonya Kigwa juu ya utupaji ndoano kule DM.. ilikuwa haina direct link na Tweet ya mo.. the only link could be..You are on the [emoji383] ..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sisemi More amemteua ..au amemuweka.. ila ushawishi mkubwa alionao ndani ya Simba..umechangia.. that's all.
Swali tata ili kwa mashabiki maandazi kama Kigwa.Kwani hisa za mashabiki zimeshanunuliwa?
SijaelewaKati ya Abromovich na Mo nani anaushawishi mkubwa kwenye timu yake?
Ndipo hapo napowakubali Wadosi. Nasikia Mdosi kamjibu na kmtaka radhi kwa kutotekeleza ombi la kuombwa pikipiki. Hah hah hah!Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.
Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko kwa club ya Simba.Kwani naamini ukitoa dili zilizomtoa kisiasa,hana uwezo wa kujua masuala ya uendeshaji timu, uongozi na usimamizi wa miradi mikubwa.
Kama tu ameshindwa tu kuimarisha chuo chake mradi ambao ni uwekezaji wenye faida kubwa na wenye uwezo wa kuajiri watu wengi, atakuwa na mawazo gani ya kuishauri Simba kama sio tu kuanzisha choko choko?
Hah hah hah!Hatimae boss wetu nae amlipua kigwangala.
Bahati mbaya Sima haipo kwenhye uliumwengu wa sasa.Kigwangwala na wote wanaomshabikia wana uelewa mdogo sana wa Corporate Management, CEO ni Mwajiriwa na anapewa Job description na Objectives za kufanyia Kazi tena zenye Performance indicators, baada ya muda atafanyiwa appraisal na kama atakuwa hajatekeleza objectives zake kwa mujibu wa makubaliano basi ajira yake itasitishwa, na nijuavyo taasisi nyingi watumishi wana sign declaration ya Conflict of interest , kwenye ulimwengu wa sasa huwezi kuajiri a Senior member of Management Kwenye organisation kama una mashaka na Loyalty yake.
Hivi unaposema maslahi ya Simba ni yapi ambayo yanahojiwa yaliokua yanatakiwa yapatikane kwenye uwekezaji huu?.Simba haina uongozi baada ya "NKWABI" mwenyekiti aliyeteuliwa na wanachama kusukumwa nje alipohoji maslahi halali ya Simba! Sasa kuna njaa kali Kaduguda hasemi chochote zaidi ya "ndiyo" boss Mo!
Hii pisi ya Mudi itasababisha itayakana haya maneno yako.Conflict ya interest!!Mshindo Msola ameaacha kazi??
Barbara ameteuliwa on merit baada ya kuwa mjumbe wa bodi kwa miaka 3.Unajua kazi atakazofanya?Maslahi yepi unayozungumzia?Unaijua katiba mpya ya Simba?Bodi ipo kwa maslahi ya nani? Unafikiri ni kampuni tanzu?
Ujahili ni ugonjwa .
Maslahi ya Taasisi ni yapi na maslahi ya mudi ni yapi?Issue sio uzoefu wake, issue ni conflicts of interest.
Hii ni pisi ya Mudi, ni mfanyakazi binafsi wa mudi leo anakua CEO kwenye taasisi ambayo Mudi ni muwekezaji mwenye hisa hamuoni kuwa atakua anafavor maslahi ya Mudi zaidi kuliko maslahi ya taasisi??
Akikujibu ni tag.Kufuata mkumbo ni ujinga.Kunyimwa mkopo wa pikipiki za jimbo imekuwa nongwa.Maslahi ya Taasisi ni yapi na maslahi ya mudi ni yapi?
Bora hata Libwata la Simba kuliko la walilopewa Utopolo? Utopolo waliingia mkataba wa kutengeneza jezi na GSM lakini GSM amekiuka mkataba hajatengeneza jezi za msimu hakuna anayehoji,? Sasa hapo huoini kua mmeshikwa vibayasimba washapewa limbwata na mudi sasa hivi wote walishakua kama ndama kazi yao nikulia tu, mooooo, eti kisa kuchukua ubingwa wa ligi mara tatu mfululizo, ndio kila mtu atakaeoji unjajanja wa mudi anaoneka ni adui, na Mudi anatumia udhaifu wa mashabiki wa mikia wengi wao shule hamna kwahiyo anawapeleka anavyotaka, hatuoni akihitengeneza timu katika misingi ya kujitengemea matokeo yake anataka timu iwe inamtegemea tu yeye na hapo ndio anawapeleka anavyotaka yeye
Shida hii ni pisi ya mudi atakuwa anapewa maelekezo ya kazi kitandani.
Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.
Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko kwa club ya Simba.Kwani naamini ukitoa dili zilizomtoa kisiasa,hana uwezo wa kujua masuala ya uendeshaji timu, uongozi na usimamizi wa miradi mikubwa.
Kama tu ameshindwa tu kuimarisha chuo chake mradi ambao ni uwekezaji wenye faida kubwa na wenye uwezo wa kuajiri watu wengi, atakuwa na mawazo gani ya kuishauri Simba kama sio tu kuanzisha choko choko?
Ewaaa! Subirini mechi ila sisi viherehere tunaendelea kufatilia maswala ya ndani ya ofisini.
Kabisa kaka, Kigwangwala ana hoja za msingi.Kigwa anahoja ya msingi kabisa
Sema wabongo wengi hata hatuelewi