Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

Kigwangala usilete mgogoro Simba, lazima tuwaamini uongozi uliopo

You are on the [emoji383] ..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Sisemi More amemteua ..au amemuweka.. ila ushawishi mkubwa alionao ndani ya Simba..umechangia.. that's all.
Plus the tweet ya huyo dada .. ya kumuonya Kigwa juu ya utupaji ndoano kule DM.. ilikuwa haina direct link na Tweet ya mo.. the only link could be..


Huyo dada aliyetweet.."Huenda" anajua kigwa keshatupa ndoano kwa CEO na huku Mudi naye keshajiweka.. huu mlipuko una mengi.

[emoji881][emoji881][emoji16][emoji1241]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.

Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko kwa club ya Simba.Kwani naamini ukitoa dili zilizomtoa kisiasa,hana uwezo wa kujua masuala ya uendeshaji timu, uongozi na usimamizi wa miradi mikubwa.

Kama tu ameshindwa tu kuimarisha chuo chake mradi ambao ni uwekezaji wenye faida kubwa na wenye uwezo wa kuajiri watu wengi, atakuwa na mawazo gani ya kuishauri Simba kama sio tu kuanzisha choko choko?
Ndipo hapo napowakubali Wadosi. Nasikia Mdosi kamjibu na kmtaka radhi kwa kutotekeleza ombi la kuombwa pikipiki. Hah hah hah!
 
Kigwangwala na wote wanaomshabikia wana uelewa mdogo sana wa Corporate Management, CEO ni Mwajiriwa na anapewa Job description na Objectives za kufanyia Kazi tena zenye Performance indicators, baada ya muda atafanyiwa appraisal na kama atakuwa hajatekeleza objectives zake kwa mujibu wa makubaliano basi ajira yake itasitishwa, na nijuavyo taasisi nyingi watumishi wana sign declaration ya Conflict of interest , kwenye ulimwengu wa sasa huwezi kuajiri a Senior member of Management Kwenye organisation kama una mashaka na Loyalty yake.
Bahati mbaya Sima haipo kwenhye uliumwengu wa sasa.
 
Simba haina uongozi baada ya "NKWABI" mwenyekiti aliyeteuliwa na wanachama kusukumwa nje alipohoji maslahi halali ya Simba! Sasa kuna njaa kali Kaduguda hasemi chochote zaidi ya "ndiyo" boss Mo!
Hivi unaposema maslahi ya Simba ni yapi ambayo yanahojiwa yaliokua yanatakiwa yapatikane kwenye uwekezaji huu?.
Maana mi naona ni mjinga tu ambaye atasema haipati maslahi yake kwenye uwekezaji huu. Ndani ya uwekezaji huu Simba imechukua ubingwa Mara tatu mfululizo. Simba imejenga viwanja vyake vya mazoezi, Simba inauwezo wa kusajili na kuwalipa Wachezaji bila shida. Sasa maslahi gani Simba inayakosa?
 
Conflict ya interest!!Mshindo Msola ameaacha kazi??
Barbara ameteuliwa on merit baada ya kuwa mjumbe wa bodi kwa miaka 3.Unajua kazi atakazofanya?Maslahi yepi unayozungumzia?Unaijua katiba mpya ya Simba?Bodi ipo kwa maslahi ya nani? Unafikiri ni kampuni tanzu?
Ujahili ni ugonjwa .
Hii pisi ya Mudi itasababisha itayakana haya maneno yako.
 
Issue sio uzoefu wake, issue ni conflicts of interest.
Hii ni pisi ya Mudi, ni mfanyakazi binafsi wa mudi leo anakua CEO kwenye taasisi ambayo Mudi ni muwekezaji mwenye hisa hamuoni kuwa atakua anafavor maslahi ya Mudi zaidi kuliko maslahi ya taasisi??
Maslahi ya Taasisi ni yapi na maslahi ya mudi ni yapi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kikubwa tuangalie performance ya timu tokea mo achukue timu. Hoja nyingine ziendelee kujadiliwa angali gurudumu linasonga. Nyie watu mlioajiriwa msichukulie Mambo poa sana, hamjawahi ht kuendesha kikampuni mnadaka mwisho wa mwezi maisha yanasonga. Kuendesha timu ni gharama sana
 
simba washapewa limbwata na mudi sasa hivi wote walishakua kama ndama kazi yao nikulia tu, mooooo, eti kisa kuchukua ubingwa wa ligi mara tatu mfululizo, ndio kila mtu atakaeoji unjajanja wa mudi anaoneka ni adui, na Mudi anatumia udhaifu wa mashabiki wa mikia wengi wao shule hamna kwahiyo anawapeleka anavyotaka, hatuoni akihitengeneza timu katika misingi ya kujitengemea matokeo yake anataka timu iwe inamtegemea tu yeye na hapo ndio anawapeleka anavyotaka yeye
Bora hata Libwata la Simba kuliko la walilopewa Utopolo? Utopolo waliingia mkataba wa kutengeneza jezi na GSM lakini GSM amekiuka mkataba hajatengeneza jezi za msimu hakuna anayehoji,? Sasa hapo huoini kua mmeshikwa vibaya
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Binafsi sipendi migogoro ktk hivi vilabu. Pia siwapendi watu wenye kuchochea migogoro. Lakini hawa wafanyabiashara wajaribu kuwa smart ktk decisions zao ili kuondoa sintofahamu za dhahili kama hili la kujadili mtu mwenye mlengo/mahusiano na board members. Inaweza kuleta mgogoro wa maslahi iwe kwa makusudi au hata bila kukusudia
Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.

Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko kwa club ya Simba.Kwani naamini ukitoa dili zilizomtoa kisiasa,hana uwezo wa kujua masuala ya uendeshaji timu, uongozi na usimamizi wa miradi mikubwa.

Kama tu ameshindwa tu kuimarisha chuo chake mradi ambao ni uwekezaji wenye faida kubwa na wenye uwezo wa kuajiri watu wengi, atakuwa na mawazo gani ya kuishauri Simba kama sio tu kuanzisha choko choko?
 
Mbona Engineer wenu feki hamulalamiki?Yupo kwenye kamati ya mashindano kama kiongozi wa Utopolo na pia ni mwajiriwa wa GSM?Analinda maslahi ya nani?Umeona akisema Yanga imesajili au huwa anasema GSM tumesajili na Yanga watalipa mshahara??
Au uweledi na madai ya kijinga ya conflict of interest hayawahusu?
Mwenyekiti wenu aliajiriwa na nani?
Hivi mna viongozi na GSM kwenye mfumo upi?
Kweli mna hadhi ya kuhoji?
Jezi za msimu mpya zimefika au matatizo ya usafiri wa ndege kwa sababu ya Corona?
Mnathubutu kuuliza??
 
Mwenyekiti wa Simba,tunaomba mtu huyu adhibitiwe.
Ikibidi asimamishwe uanachama kwa sababu nia yake si nzuri kwa timu.
Na ninaamini atakuwa anatumika na upande wa pili.Aendelee kuwa waziri wa Simba mwitu atuachie Simba yetu.
Tabia kama hizi zinaweza kuigawa club na kuwafanya adui zetu wavune ushindi na kutuvurugia timu.

Kwanza kwa taarifa zisizo rasmi inaonekana ana mgogoro binafsi na Mo.Huyu jamaa ni dhaifu sana,sijui huo uwaziri anaumudu kivipi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Dharaurini hoja za Kigwangala ila ipo siku na ninyi mtakuja kutembeza bakuli uwanjani.
 
Back
Top Bottom