Kigwangalla kushangaa UDART kushindwa kuendesha mwendokasi ni unafiki wa kiwango cha juu

hivi unajua maxcom aliondolewa mwaka gani hata unasema mwaka jana mapato yameongezeka? Kama yameongezeka kwa nini uendeshaji apewa mtu mwingine ikiwa msingi wa uhai wa dart ni mapato?
 
We jamaa unavituko sana mapato yameongezeka lakin lakin project imewashinda udart kuendesha mpaka serekali inatafuta mwekezaji
 
hivi unajua maxcom aliondolewa mwaka gani hata unasema mwaka jana mapato yameongezeka? Kama yameongezeka kwa nini uendeshaji apewa mtu mwingine ikiwa msingi wa uhai wa dart ni mapato?
Huyo hajui anachoongea
 
Kama udart inaendeshwa hivi, ndege je?
 
Mfumo wa tiketi uliopo ni mbovu ni rahisi sana mtu kuiba tofauti na kipindi kile Cha max malipo na ni moja ya kiini Cha tatizo
Uongo mkubwa sana, Kama mfumo ni mbovu mapato mbona yameongezeka sana mwaka jaana na mwaka huu?

Kivuko Cha kigamboni wanatumia mfumo wa kadi, mbona nacho kimefeli?
 
hivi unajua maxcom aliondolewa mwaka gani hata unasema mwaka jana mapato yameongezeka? Kama yameongezeka kwa nini uendeshaji apewa mtu mwingine ikiwa msingi wa uhai wa dart ni mapato?
Narudia tena kumuelewesha, max malipo hakusanyi mapato. Ilo naona pengine bado huelewi.

Max malipo alikuwa na mfumo wa ticket ambao unatumiwa kukusanya mapato na Udart, Kama ambavyo taasisi zingine Kama tanesco wanaotumia selcom.

Pili unapaswa kufahama max malipo wameshindwa biashara, achana na dart karibu kwenye mifumo mingi hawapo tena. Selcom bado wapo na wanafanya vizuri.

Tatizo sio ticket inatoka kwa wakala gani, hata ticket ikitoka kwa selcom ni ticket tu ile ile. Au nikuuliza kivuko Cha kigamboni wanatumia mfumo gani kukusanya mapato?
 
We jamaa unavituko sana mapato yameongezeka lakin lakin project imewashinda udart kuendesha mpaka serekali inatafuta mwekezaji
Moja ya kitu ambacho kipo jf ni tabia ya mtu kubisha pasipokuwa na sababu.

Mapato ya Dart yameongezeka karibu 50% na taarifa ilitolewa mwezi uliopita.

Ipo hivi kuongezeka mapato sio sababu ya udart kunyimwa kuendelea na mradi, Bali sera za serikali kwa Sasa ni kuvutia wawekezaji wa nje na tayari huu mradi umekabidhiwa kwa waarabu wa UAE
 
Max malipo alikuwa na mfumo wa ticket ambao unatumiwa kukusanya mapato na Udart, Kama ambavyo taasisi zingine Kama tanesco wanaotumia selcom.
hebu rudia kusoma ulichoandika, kisha jiulize unapinga nini na unasupport nini
 
Umemjibu vyema kabisa huyu nyumbu.
Kama nakumbuka vzr Magu alimtuma site Majaliwa mara mbili mbili kufosi uanze baada ya kuona kuna upigaji unataka kufanyika. Yaani kila kitu kilikuepo watu wakawa wanaleta danadana kuanza kazi. Watu pia wanasahau kua miundombinu ni mkopo wa WB kama sikosei. Hivyo kuwapa wageni wa-run mradi ambao miundombinu ni yetu tena ya mkopo, nikama kusema hawa jamaa tumewafyekea pori, tumesawazisha shamba, tumewapandia mbegu na sasa eti tunawaita watusaidie kuvuna. Upuz wa hali ya juu huu.
 
Huo uwekezaji wa waarabu ni shindanishi? tuanze kueleweshana kidogokidogo.
 
hebu rudia kusoma ulichoandika, kisha jiulize unapinga nini na unasupport nini
Wewe una matatizo makubwa ya akili. Wanaotemgeneza ticket za mabasi ndio wanayokusanya mapato au wamiliki wa mabasi ndio wanayokusanya mapato? Pale dirishani u apotoa pesa unampa Max malipo au unampa Dart? Kipi huelewi hapo?

Dart hawana mfumo wa kutengeneza ticket, Kama ilivyo kwa watu wa mabasi hawawezi kutengeneza ticket, ticket hutengenezwa na watu wengine.

Mfano mwingine kwako wewe mjinga mkubwa. Unapolipa nauli kwenye daladala pesa inakusanywa na kondakta au na waliotengeneza ticketi?
 
huna haja ya kutukana.

nikusaidie tu kuwa kutukana unapofafanua jambo is a sign of serious mental or psychological issue. seek help!
 
Humu kuna wajinga wengi sana, wanalaumu Max malipo kuondolewa kwenye ticket Ila hapohapo mapato ya mwendokasi kwa mwaka huu yameongezeka maradufu tofauti na wakati wa Magufuli.

Tatizo halipo kwenye ticket na ndio maana mapato yameongezeka sana. Kwa Sasa sera ya serikali ni kuruhusu wawekezaji kuendesha biashara zote na ndio maana UAE wamepewa hiyo kazi kwenye mwendokasi
 
kushabikia mtu anayefafanua jambo akiwa anatukana ni dalili ya kuwa una either tatizo la akili au saikolojia. tafuta tiba
 
huna haja ya kutukana. nadhani hujui udart ilikotoka. unavyoiona leo sivyo livyokuwa ilipoanza.

nikusaidie tu kuwa kutukana unapofafanua jambo is a sign of serious mental issue. tafuta msaada
Wewe ni mtu mjinga sana mm nisiijue udart ilipoanza ikiwa nilifanya kazi na STRABAG??

Kuanzia mwanzo mpaka utekeleza nilikuwa nafahamu na hata design kutakiwa kubadilishiwa sababu ya hoja kwa nn kituo kiwe katika na sio pembeni.

Pia huko ilipoanzia ilikuwa hovyo kuliko Sasa ndio maana mapato yake kwa mwaka huu 2021/2022 yameongezeka kwa 50% kutoka bil 25 hadi bil 36. Kama Sasa hivi ingekua ipo vibaya mapato yangepungua na sio kuongezeka sana.

Mwisho sababu ya mradi huu kupewa waarabu wa UAE mwezi huu sio sababu za kimapato, Bali ni sera za serikali

Taarifa ya mapato kuongezeka nakuwekea hapa[emoji116]
 
huwa sipendi kujibizana na watukanaji as I know mtukanaji ye yote ni mtu mwenye shida ya akili na au saikolojia. uwe na siku njema
 
huwa sipendi kujibizana na watukanaji as I know mtukanaji ye yote ni mtu mwenye shida ya akili na au saikolojia. uwe na siku njema
Wewe ni mjinga na hiyo sifa lazima nikupe. Ukiwa hufahamu kitu usipende kukizungumzia.

Na sio DART tu kuna sehemu zingine pia watapewa wawekezaji, sijui utazungumzia sababu ni max malipo.

Au container bandari sasa hivi kupewa DP world, nayo sababu ni max malipo kuondolewa?
 
ni aibu kwa kweli!yuko sahihi, why tumeshindwa kuongoza mpaka tuwape kampuni ya nje??why tusimpe moh, bakharesa na watz wengine??lkn je wataweza kufanya kazi hyo ktk weledi???
 
Hamna cha maana alichokuwa akifanya Max Malipo zaidi ya kupiga hela, hizo kadi za Max Malipo zilitumika kwa mda gani?

Au kipindi cha Max malipo DART walikuwa wanakusanya kiasi gani na hivi sasa wanakusanya kiasi gani.

Unaongea tu ili mradi bila reference.
 
Mfumo wa tiketi uliopo ni mbovu ni rahisi sana mtu kuiba tofauti na kipindi kile Cha max malipo na ni moja ya kiini Cha tatizo
Ulifanya Pen test ya huo mfumo wa Max malipo na wa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…