Kigwangalla kushangaa UDART kushindwa kuendesha mwendokasi ni unafiki wa kiwango cha juu

Kigwangalla kushangaa UDART kushindwa kuendesha mwendokasi ni unafiki wa kiwango cha juu

wachangiaje mnaochangia mnashindwa kutofautisha UDART na DART ivi ni vitu viwili tofauti vinavyofanya kazi kwenye mwendokasi

DART ni dar es salaam rapid transit agency wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka kama ilivyo wakala temesa, tanesco ,tarura na nk

UDART ni usafiri dar es salaam rapid transit ni public company inayotoa huduma za mabasi kwenye barabara za mwendokasi na inapewa mkataba na dart hii kampuni sasa ni ya serikali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hayo yote anayajua? Hakuna anacholewa hata kimoja kuhusu mradi na changamoto zake.

Ogopa sana mtu mjinga akitoa maoni
We ndo mjinga wa mwisho ambaye unataka kutuaminisha mtu alikifanya vizuri anakuwa replace umeshaona wapi badala yake umejikita kwenye petty issues za udart na dart
 
wachangiaje mnaochangia mnashindwa kutofautisha UDART na DART ivi ni vitu viwili tofauti vinavyofanya kazi kwenye mwendokasi

DART ni dar es salaam rapid transit agency wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka kama ilivyo wakala temesa, tanesco ,tarura na nk

UDART ni usafiri dar es salaam rapid transit ni public company inayotoa huduma za mabasi kwenye barabara za mwendokasi na inapewa mkataba na dart hii kampuni sasa ni ya serikali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hayo uliyoandika yote nayajua usipende kujikita kwenye petty issues na huku lengo la Uzi unalijua
 
Kikwete aliulizwa na Bob Geldof kwa nini Tanzania masikini? Akasema hajui.
 
Hayo uliyoandika yote nayajua usipende kujikita kwenye petty issues na huku lengo la Uzi unalijua
kama unayajua udart anahusika vipi na kushindwa kuendesha mwendokasi wakati hata yeye mkataba wa kutoa huduma za mabasi anapewa na DART muhusika wa mwendokasi na anaendesha mwendokasi ni DART ndio unatakiwa umwandike huyo kwamba kashindwa kuendesha mwendokasi unaonekana ujui lolote kwenywe mradi ila unataka kujifanya unajua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kingne udart ninmtoa huduma za mabasi phase 1 iyo kampuni ya nje itapewa phase 2 ya mbangala ambayo ndio hasa hasa kigwangala anaiongelea hivyo udart bado atatoa huduma phase 1 hao wote wanapewa mkataba na DART

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We ndo mjinga wa mwisho ambaye unataka kutuaminisha mtu alikifanya vizuri anakuwa replace umeshaona wapi badala yake umejikita kwenye petty issues za udart na dart
Wewe nj mpumbavu, nimekutolea mfano tulikua na viwanda vingi tu na vilifanya vizuri Ila sababu ya kubadili sera tukawapa wawekezaji na vikafa moja kwa moja.
 
Mtanikimbuka kwa mema na wala si mabaya. (In JPM voice)
 
Kigwangala mnafiki japo ana logic. Ila kwa sie abiria tunaona ni bora akapewa mtu mweupe lakini lazima asimamiwe vizuri ili hali iimarike.

Biashara ya Transport huwa na changamoto kubwa kwenye maintanance na kwa aina ya mabasi haya ya kichina inabidi fedha nyingi irudishwe kwenye maintanance. Kitu ambacho Dart na Udart walikishindwa kwa kiasi fulani.

Mabasi machafu, Air condition hazifanyi kazi tena, abiria wanajaa bila sababu, madereva wazembe wanapaki vituoni wakati abiria wengi wanasubiri mabasi. Kampuni ilivyoanza walikuwa wanalipa vizuri waajiriwa baadae ikaanza kurejea kwenye falsafa ya ccm ya kufariki kama ilivyofariki treni ya Tazara, TRC, Atcl , Sukita, Biashara consumers Ltd,

Ila nadhani Maxmalipo aliondolewa baada ya kujulikana anakusanya kingi halafu hafikishi zote. Alisimika point of sales za kukatisha ticket na wakatishaji, E-cards etc
 
Wewe nj mpumbavu, nimekutolea mfano tulikua na viwanda vingi tu na vilifanya vizuri Ila sababu ya kubadili sera tukawapa wawekezaji na vikafa moja kwa moja.
Ubinafsisaji ni kwa sababu sera ya ujamaa ilifail tukaamia kwenye capitalism ndo maana sera lazima ibadilike same kwa udart wamefail ndo maana aatafutwa muekezaji mwingine acha uzwazwa

Mabadiliko ya sera Mara nyingi ni kwa sababu iliyopo imefail au haikidhi matakwa

Hakuna kitu chenye ubora na matokeo chanya kikafanyiwa mabadiliko
 
Udart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa.
Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi.

Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida. Sasa kati ya ujenzi wa zile barabara na magari kipi kina gharama? Kama urasimu ni mwingi kwanini watu hawawajibishwi wakiiba? Nchi inadumaa kisa kuogopana na kuchekeana.

Mfano, wale waliyokuwa wanahujumu kivuko cha Magogoni na Kigamboni kabla hajapewa Bakharesa wangetakiwa wawe na kesi ya kujibu.

Kuna miaka itakuja tutamani kutawaliwa na wazungu voluntary kwa ridhaa yetu sababu ni kama somo la Management limetushinda sisi Waafrika na hii inamprove Wright Botha katika ile speech yake aliyoitoa.
Tatizo katika nchi hii mwizi sana huwa anaitwa mjanja !! Kwahiyo kila mtu anatafuta fursa ili aitwe mjanja !!
 
Una akili ndogo sana, kinachoiua mwendokasi sio suala la ukataji ticket Wala mapato, kwanza mapato yameongezeka tofauti na alivyokuwepo Magufuli.

Mfano kivuko Cha kigamboni nacho kimefeli je Ni sababu ya ticket? Tena Sasa hivi karibuni walikuja na mfumo wa kadi Ila bado kimefeli, unajua sababu ni nn?
tatizo ni ticketing,watu wanauza ticket zao on behalf of the authority

wewe ulidhani tatizo sio ticket ni nini?

ticket ndio mapato na tatizo lao ni mapato,then what is the problem then?

wewe unatoa electronic ticketing unaweka ticket ya vitabu,wale washenzi wanaprint vitabu vyao binafsi wanajiuzia na wao ticket zao,mapato utayapatia chooni?

Kivuko ni ticketing system,ticket za kuchaniwa kwenye system,wana erase baada ya kuuza zao,wanagawana mapato na authority,what do you expect?

tatizo ni nini kama sio mapato na mapato ni ticket?

Walipoitoa maxmalipo wakaweka ticket za vitabu hapo hapo mwendokasi ika collapse....

tueleze tatizo ni nini?tako lako ndio tatizo au nini?
 
Ubinafsisaji ni kwa sababu sera ya ujamaa ilifail tukaamia kwenye capitalism ndo maana sera lazima ibadilike same kwa udart wamefail ndo maana aatafutwa muekezaji mwingine acha uzwazwa

Mabadiliko ya sera Mara nyingi ni kwa sababu iliyopo imefail au haikidhi matakwa

Hakuna kitu chenye ubora na matokeo chanya kikafanyiwa mabadiliko
mkuu

takataka hilo halina akili

bado ni lijamaa...nadhani lipo serikalini ndio maana bado akili mgando sana aisee

we have a very long way to go kwa majitu kama haya ndio tumeyaweka maofisini humo
 
Back
Top Bottom