Kigwangalla kushangaa UDART kushindwa kuendesha mwendokasi ni unafiki wa kiwango cha juu

Aliyeuwa mwendokasi ni Magufuli na alifanya haya kigwangala akiwa Waziri. Alikuwa wapi kusema haya?

Mwendokasi ilianza vizuri chini ya kampuni ya Maxmalipo na kulikuwa na ticket za kadi unalipia na kutumia wiki nzima na mapato yalikuwa yapo vizuri sana

Akaja magufuli akaondoa ile kampuni na kuleta ushamba wake eti akaweka wanajeshi na kukawa kuna kukata ticket kama daladala ndo mwisho wake mwendokasi imekuwa hivi. Wakata ticket wanajenga nyumba huku mradi unakufa watu wanajazwa kama kuku kwenye magari

Kigwangala angeongea kipindi kile wakati magufuli alivyokuwa anaua mwendokasi sio kuleta ujinga saivi
Hujakosea magufuli ndo aliyeua mwendokasi
 
Tusibadilika jinsi tunavyofikiri,kupanga na kutekeleza kwa mwendo huu miaka 50 ijayo tutawaliwa na wageni.Nimeona baadhi ya member wanachangia unajua kweli tuna think tanker humu..wanajua kiini cha tatizo...viongozi inabidi wajitafakari kwa kweli kuliokoa hili Taifa ..tuache ubinafsi tunakoelekea tunawatwisha mzigo mzito watoto wetu..vizazi viajavyo
 
Ameiua vipi na mwaka huu mapato yameongezeka sana kutoka bil 25 hadi bil 36
Hivi unaakili timamu kweli mapata yameongezeka lakin Serekali inataka kuwapa mwekezaji wa nje uongozi uliopo umeshindwa

Ilaumu serekali yako iliyotoa tangazo la kutaka kumpa mgeni mim tu nimeleta taarifa
 
Aibu ilioje 😂😂😂 yani barabara ya kwako binafsi, gari zako pekee, abiria wote wakwako kwa umbali usiozidi 15Km.
Hii nchi ya kindezi sana, viongozi wa kidwanzi sana. Seems hakuna tunachoweza sisi, shame!
 
Hivi unaakili timamu kweli mapata yameongezeka lakin Serekali inataka kuwapa mwekezaji wa nje uongozi uliopo umeshindwa
mapato yameongezeka ila kampuni inakufaa sasa sijui wanatuona sisi ni matahiraa sanaa... UDART inakufaaa huku tunadanganyanaa masuala ya mapato au wakubali HELA ZINALIWA KULIKO KAWAIDA..!! Magari yamechoka sanaa na je hela za kujenga hizo barabara zingine za mwendokasi zinatoka wapi??? inakuwaje serikali ishindwe kununua magari mpaka watafute muwekezaji toka nje serious??? hata MO hawezi kupewa hiyo tenda??? kinachendelea kigamboni kuhusu pantoni ndo hicho kipo mwendokasi URASIMU MWINGI SANA
 
Hivi unaakili timamu kweli mapata yameongezeka lakin Serekali inataka kuwapa mwekezaji wa nje uongozi uliopo umeshindwa

Ilaumu serekali yako iliyotoa tangazo la kutaka kumpa mgeni mim tu nimeleta taarifa
Wewe pia una tatizo la akili, serikali kwa sasa sera yake ni kuwapa wawekezaji kuendesha biashara. Ndio maana wakapewa hao UAE.

Hata bandari mapato yameongezeka lakini kapewa DP world. Hiyo ni sera kwa sasa, lengo kufungua nchi zaidi.

Hii chini ni taarifa ya mapato kuongezeka na imetolewa mwezi uliopita

Screenshot_20220912-130715_1.jpg
 
Uongo mkubwa sana, Kama mfumo ni mbovu mapato mbona yameongezeka sana mwaka jaana na mwaka huu?

Kivuko Cha kigamboni wanatumia mfumo wa kadi, mbona nacho kimefeli?
Maputo yameongezeka na mchwa wa kuyala hayo Maputo nao umeongezeka mara 2 kwa hiyo work done ni sawa na -1 na sio sifuri hata
 
mapato yameongezeka ila kampuni inakufaa sasa sijui wanatuona sisi ni matahiraa sanaa... UDART inakufaaa huku tunadanganyanaa masuala ya mapato au wakubali HELA ZINALIWA KULIKO KAWAIDA..!! Magari yamechoka sanaa na je hela za kujenga hizo barabara zingine za mwendokasi zinatoka wapi??? inakuwaje serikali ishindwe kununua magari mpaka watafute muwekezaji toka nje serious??? hata MO hawezi kupewa hiyo tenda??? kinachendelea kigamboni kuhusu pantoni ndo hicho kipo mwendokasi URASIMU MWINGI SANA
Na walioharibu bado wako ofisin wanapulizwa na AC
 
Wewe pia una tatizo la akili, serikali kwa sasa sera yake ni kuwapa wawekezaji kuendesha biashara. Ndio maana wakapewa hao UAE.

Hata bandari mapato yameongezeka lakini kapewa DP world. Hiyo ni sera kwa sasa, lengo kufungua nchi zaidi.

Hii chini ni taarifa ya mapato kuongezeka na imetolewa mwezi uliopita

View attachment 2354482
Kwanin uwape wawekezaj kama uongozi wa ndani unafanya vizuri, wamewapa wawekezaj sababu uongozi wa ndani umefail acha ujinga
 
mapato yameongezeka ila kampuni inakufaa sasa sijui wanatuona sisi ni matahiraa sanaa... UDART inakufaaa huku tunadanganyanaa masuala ya mapato au wakubali HELA ZINALIWA KULIKO KAWAIDA..!! Magari yamechoka sanaa na je hela za kujenga hizo barabara zingine za mwendokasi zinatoka wapi??? inakuwaje serikali ishindwe kununua magari mpaka watafute muwekezaji toka nje serious??? hata MO hawezi kupewa hiyo tenda??? kinachendelea kigamboni kuhusu pantoni ndo hicho kipo mwendokasi URASIMU MWINGI SANA
Mapato ni kweli yameongezeka sana na UDART sio kwamba inakufa bali ni madabiliko ya sera ndio yanafanya udart iondolewe.

Kwani bandari inakufa? Mbona Ticts anaondolewa?

Sera zimebadilika na hakuna ubaya. Hata Tanesco kwa sasa Kuna vitengo vimepewa kampuni binafsi, unataka kuniambia Tanesco nayo inakufa?

Muelewe kuhusu mabadiliko ya sera
 
Kigwa hajakosea! Sijui kwanini kuna watu wanajiona wao tu ndio wenye haki ya kuibua na kujadili mambo kama haya. UDART ni moja ya taasisi ambazo zina sarakasi ambazo zinatutia aibu sana.

Kama tumeshindwa kuliko kuwapa watu wa nje si bora tuwape akina Bakhersa ili uwekezaji wao na faida ibakie ndani?

Alafu kushindwa kuendesha biashara ya daladala kweli? Wala haihitaji complex economic matrix! Ni watu wanataka kuiba hadi matairi alafu wavute mamikopo huko nje watambae! [emoji22]
Tatizo kubwa ni siasa. Udart inaendeshwa kisiasa na wakati mwingine kibabe. Unakumbuka wakati wa JPM walipelekwa Suma jkt kuiendesha? Ni vizuri serekali kujiondoa lakini ni ufinyu wa akili kuikabidhi kwa wageni kuindesha. Zipo kampuni za kizawa nyingi zenye uzoefu wa biashara ya kubeba abiria zinaweza kuendesha Udart kwa ufanisi mkubwa.
 
Kwanin uwape wawekezaj kama uongozi wa ndani unafanya vizuri, wamewapa wawekezaj sababu uongozi wa ndani umefail acha ujinga
Unaamini sababu ya kumpa mwekezaji ni kufeli kwa uongozi wa ndani? Tanesco Kuna idara kapewa mwekezaji, unataka kusema Tanesco nayo imefeli?

Alafu sababu yako ya max malipo haipo tena?
 
Aliyeuwa mwendokasi ni Magufuli na alifanya haya kigwangala akiwa Waziri. Alikuwa wapi kusema haya?

Mwendokasi ilianza vizuri chini ya kampuni ya Maxmalipo na kulikuwa na ticket za kadi unalipia na kutumia wiki nzima na mapato yalikuwa yapo vizuri sana

Akaja magufuli akaondoa ile kampuni na kuleta ushamba wake eti akaweka wanajeshi na kukawa kuna kukata ticket kama daladala ndo mwisho wake mwendokasi imekuwa hivi. Wakata ticket wanajenga nyumba huku mradi unakufa watu wanajazwa kama kuku kwenye magari

Kigwangala angeongea kipindi kile wakati magufuli alivyokuwa anaua mwendokasi sio kuleta ujinga saivi
We fala kama hujui jambo si utulize makalio chini.
 
Back
Top Bottom