Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Suma JKT hawajawahi kuendesha Udart. Suma JKT ni walinzi tu Kama walivyokuwa wanalinda wale CT. Wenzetu huwa sijui mnachanganyaje haya mambo.Tatizo kubwa ni siasa. Udart inaendeshwa kisiasa na wakati mwingine kibabe. Unakumbuka wakati wa JPM walipelekwa Suma jkt kuiendesha? Ni vizuri serekali kujiondoa lakini ni ufinyu wa akili kuikabidhi kwa wageni kuindesha. Zipo kampuni za kizawa nyingi zenye uzoefu wa biashara ya kubeba abiria zinaweza kuendesha Udart kwa ufanisi mkubwa.
Mkuu madereva, mafundi na makarani wa kiraia wengi waliondolewa wakaajiri Suma jkt.Suma JKT hawajawahi kuendesha Udart. Suma JKT ni walinzi tu Kama walivyokuwa wanalinda wale CT. Wenzetu huwa sijui mnachanganyaje haya mambo.
Kwa ninavyojua biashara ya usafirishaji ndani ya dar inalipa mno na hapo wasafirishaji binafsi wanakwamishwa na trafiki polisi,nachoshangaa udart wanashindwaje na huku trafiki awawaletei usumbufu wowote!Aibu ilioje 😂😂😂 yani barabara ya kwako binafsi, gari zako pekee, abiria wote wakwako kwa umbali usiozidi 15Km.
ishu ya kumwaga wanajeshi pale nlishawahi kuiskiaAliyeuwa mwendokasi ni Magufuli na alifanya haya kigwangala akiwa Waziri. Alikuwa wapi kusema haya?
Mwendokasi ilianza vizuri chini ya kampuni ya Maxmalipo na kulikuwa na ticket za kadi unalipia na kutumia wiki nzima na mapato yalikuwa yapo vizuri sana
Akaja magufuli akaondoa ile kampuni na kuleta ushamba wake eti akaweka wanajeshi na kukawa kuna kukata ticket kama daladala ndo mwisho wake mwendokasi imekuwa hivi. Wakata ticket wanajenga nyumba huku mradi unakufa watu wanajazwa kama kuku kwenye magari
Kigwangala angeongea kipindi kile wakati magufuli alivyokuwa anaua mwendokasi sio kuleta ujinga saivi
Wapuuzi sanaKwa ninavyojua biashara ya usafirishaji ndani ya dar inalipa mno na hapo wasafirishaji binafsi wanakwamishwa na trafiki polisi,nachoshangaa udart wanashindwaje na huku trafiki awawaletei usumbufu wowote!
Suma JKT?? Ndio maana nasema unachanganya mambo, Suma JKT walichopewa ni ulinzi kwenye mwendokasi. Uendeshaji na management ipo kwa DART hadi sasa.Mkuu madereva, mafundi na makarani wa kiraia wengi waliondolewa wakaajiri Suma jkt.
Hakuna mwanajeshi alimwaga, wenzetu mpo mkoa gani? Suala la ulinzi walikuwa CT, ndio wakapewa suma JKT. Suma JKT ni walinzi Kama walivyo KK security na wengine.ishu ya kumwaga wanajeshi pale nlishawahi kuiskia
Wengine juzi kati wameachiwa huruuNa walioharibu bado wako ofisin wanapulizwa na AC
Uongozi umeafail ndo maana anapewa ulishaonaga wapi mtu anafanya vizuri alafu anatolewaUnaamini sababu ya kumpa mwekezaji ni kufeli kwa uongozi wa ndani? Tanesco Kuna idara kapewa mwekezaji, unataka kusema Tanesco nayo imefeli?
Alafu sababu yako ya max malipo haipo tena?
Inaogopesha!Kama udart inaendeshwa hivi, ndege je?
Hayo ni madabiliko ya kisera. Awamu ya mkapa alibinafsisha mashirika na viwanda sio kwa sababu walikuwa walifanya vibaya bali kutokana na mabadiliko ya kisera yalimpasa kufanya hivyo bahati mbaya sana hali ikawa mbaya tofauti na mwanzo.Uongozi umeafail ndo maana anapewa ulishaonaga wapi mtu anafanya vizuri alafu anatolewa
Kwenye maisha ukifanya vizuri unangangania na sio kuwa replace kadanganye wajinga
Toa maelezo na sisi tufaidikeMfano kivuko Cha kigamboni nacho kimefeli je Ni sababu ya ticket? Tena Sasa hivi karibuni walikuja na mfumo wa kadi Ila bado kimefeli, unajua sababu ni nn?
Hawana foleni awapigwi bao na trafiki na bado wanafeli,kwa wenzetu bus kama zile full ice na kuna ratiba unajua baada ya dk ngapi bus litakua stendi uliopoWapuuzi sana
SoC 2022 - Agizo lolote linapotelewa, muongozo wa mbadala wake utolewe, ili kuepusha kukiukwa kwa agizo hilo Kaisomee hii utanishukuru baadae aiseeUdart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa.
Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi.
Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida. Sasa kati ya ujenzi wa zile barabara na magari kipi kina gharama? Kama urasimu ni mwingi kwanini watu hawawajibishwi wakiiba? Nchi inadumaa kisa kuogopana na kuchekeana.
Mfano, wale waliyokuwa wanahujumu kivuko cha Magogoni na Kigamboni kabla hajapewa Bakharesa wangetakiwa wawe na kesi ya kujibu.
Kuna miaka itakuja tutamani kutawaliwa na wazungu voluntary kwa ridhaa yetu sababu ni kama somo la Management limetushinda sisi Waafrika na hii inamprove Wright Botha katika ile speech yake aliyoitoa.
mtoa mada kwanza rekebisha kichwa cha habari sio UDART ni DARTUdart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa.
Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi.
Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida. Sasa kati ya ujenzi wa zile barabara na magari kipi kina gharama? Kama urasimu ni mwingi kwanini watu hawawajibishwi wakiiba? Nchi inadumaa kisa kuogopana na kuchekeana.
Mfano, wale waliyokuwa wanahujumu kivuko cha Magogoni na Kigamboni kabla hajapewa Bakharesa wangetakiwa wawe na kesi ya kujibu.
Kuna miaka itakuja tutamani kutawaliwa na wazungu voluntary kwa ridhaa yetu sababu ni kama somo la Management limetushinda sisi Waafrika na hii inamprove Wright Botha katika ile speech yake aliyoitoa.
Hayo yote anayajua? Hakuna anacholewa hata kimoja kuhusu mradi na changamoto zake.mtoa mada kwanza rekebisha kichwa cha habari sio UDART ni DART
udart ni kampuni tu iliyopewa tenda na dart kwaajili ya kutoa huduma za mabasi kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka na inamilikiwa na msajili wa hazina kwa asilimia 85 na simon group 15
DART ni wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka ndio wamiliki wa mwendokasi yenyewe kwa niaba ya serikali
swali la kujiuliza je hazina ambayo ndio wamili wa udart na ambao ndio wanawajibika kulipa deni la word bank la mwendokasi wanaweza kujitoa halafu DART wakampa mtoa huduma mwingne?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app