We ndo mjinga wa mwisho ambaye unataka kutuaminisha mtu alikifanya vizuri anakuwa replace umeshaona wapi badala yake umejikita kwenye petty issues za udart na dartHayo yote anayajua? Hakuna anacholewa hata kimoja kuhusu mradi na changamoto zake.
Ogopa sana mtu mjinga akitoa maoni
Hayo uliyoandika yote nayajua usipende kujikita kwenye petty issues na huku lengo la Uzi unalijuawachangiaje mnaochangia mnashindwa kutofautisha UDART na DART ivi ni vitu viwili tofauti vinavyofanya kazi kwenye mwendokasi
DART ni dar es salaam rapid transit agency wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka kama ilivyo wakala temesa, tanesco ,tarura na nk
UDART ni usafiri dar es salaam rapid transit ni public company inayotoa huduma za mabasi kwenye barabara za mwendokasi na inapewa mkataba na dart hii kampuni sasa ni ya serikali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Imagine rais wa nchi alikua hajui kwanin nchi yake ni maskin Tanzania tunasafari ndefu sanaKikwete aliulizwa na Bob Geldof kwa nini Tanzania masikini? Akasema hajui.
kama unayajua udart anahusika vipi na kushindwa kuendesha mwendokasi wakati hata yeye mkataba wa kutoa huduma za mabasi anapewa na DART muhusika wa mwendokasi na anaendesha mwendokasi ni DART ndio unatakiwa umwandike huyo kwamba kashindwa kuendesha mwendokasi unaonekana ujui lolote kwenywe mradi ila unataka kujifanya unajuaHayo uliyoandika yote nayajua usipende kujikita kwenye petty issues na huku lengo la Uzi unalijua
Wewe nj mpumbavu, nimekutolea mfano tulikua na viwanda vingi tu na vilifanya vizuri Ila sababu ya kubadili sera tukawapa wawekezaji na vikafa moja kwa moja.We ndo mjinga wa mwisho ambaye unataka kutuaminisha mtu alikifanya vizuri anakuwa replace umeshaona wapi badala yake umejikita kwenye petty issues za udart na dart
Huyajui kwa kuwa hiyo akili HAUNAHayo uliyoandika yote nayajua usipende kujikita kwenye petty issues na huku lengo la Uzi unalijua
Ubinafsisaji ni kwa sababu sera ya ujamaa ilifail tukaamia kwenye capitalism ndo maana sera lazima ibadilike same kwa udart wamefail ndo maana aatafutwa muekezaji mwingine acha uzwazwaWewe nj mpumbavu, nimekutolea mfano tulikua na viwanda vingi tu na vilifanya vizuri Ila sababu ya kubadili sera tukawapa wawekezaji na vikafa moja kwa moja.
Tatizo katika nchi hii mwizi sana huwa anaitwa mjanja !! Kwahiyo kila mtu anatafuta fursa ili aitwe mjanja !!Udart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa.
Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi.
Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida. Sasa kati ya ujenzi wa zile barabara na magari kipi kina gharama? Kama urasimu ni mwingi kwanini watu hawawajibishwi wakiiba? Nchi inadumaa kisa kuogopana na kuchekeana.
Mfano, wale waliyokuwa wanahujumu kivuko cha Magogoni na Kigamboni kabla hajapewa Bakharesa wangetakiwa wawe na kesi ya kujibu.
Kuna miaka itakuja tutamani kutawaliwa na wazungu voluntary kwa ridhaa yetu sababu ni kama somo la Management limetushinda sisi Waafrika na hii inamprove Wright Botha katika ile speech yake aliyoitoa.
tatizo ni ticketing,watu wanauza ticket zao on behalf of the authorityUna akili ndogo sana, kinachoiua mwendokasi sio suala la ukataji ticket Wala mapato, kwanza mapato yameongezeka tofauti na alivyokuwepo Magufuli.
Mfano kivuko Cha kigamboni nacho kimefeli je Ni sababu ya ticket? Tena Sasa hivi karibuni walikuja na mfumo wa kadi Ila bado kimefeli, unajua sababu ni nn?
mkuuUbinafsisaji ni kwa sababu sera ya ujamaa ilifail tukaamia kwenye capitalism ndo maana sera lazima ibadilike same kwa udart wamefail ndo maana aatafutwa muekezaji mwingine acha uzwazwa
Mabadiliko ya sera Mara nyingi ni kwa sababu iliyopo imefail au haikidhi matakwa
Hakuna kitu chenye ubora na matokeo chanya kikafanyiwa mabadiliko