Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

Hataka ni kuwaishiwa 40% zao ni kituko cha mwaka unawahisha mabehewa bila kuwa na reli yenyewe .
 
Mama mwenyewe ndo huyu asiyeaminika mbinguni wala ardhi
 
Kila kinachoendelea hapa nchini ambacho Hayati JPM alikisimamia vyema sasa kina mauzauza na harufu za upigaji.

Kwa nini kununua mabehewa used? Kuna haraka gani ili hali mradi unasuasua kumalizika?
Hivi una habari kwamba hayo mabehewa ni tangu enzi za huyo Magu?!
 
Hivi una habari kwamba hayo mabehewa ni tangu enzi za huyo Magu?!
Do nyie viumbe sijui mnashida gani yaani mnatumia jina la magu kama lilevi msipo litaji mnapata withdraw syndrome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…