KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kwanini Nzega uwe mkoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna rahisisha administration, hata Geita ilifanya Mkoa kutoka Mwanza na Chato ilikuwa mbioni, ila wana Kagera walionekana wakali kama pilipili.Kugawa mikoa kuna faida gani??
HahahahaEndeleeni kuomba mikoa, mimi niliomba bandari 1 nikapewa zote.
Unajua historia ya waarabu na majini?Hahahaha
Juju ndo inakusubiri. Jaribu uone
Wewe miliki jini.Unajua historia ya waarabu na majini?
Mlikuwa wapi wakati nanunua Ngorongoro?Wewe miliki jini.
Sisi tunamdhibiti jini
Soon atapata support ya wamamaBashe ni kiongozi mzuri sana
Kigwa hafai anatabia za kike sana tupilia mbali ubinafsi
Mie nilikaa Tinde....ndio nimewajengea ile lami Nzega...Tinde....Isaka......Tinde.....Maganzo.....2004.....2006......palikuwa patamu balaaa.Hahahaha.Wasomali ni wajanja mno. Nzega iwe mkoa jamani ,watamega maeneo na mkoa wetu wa Shinyanga. Tumechoka Shinyanga na Mwanza yetu kumegwa .
Sahau hyo kitu haipo tena! Wale wenzetu WA Komunyo na confirimansio wametumaliza aiseee...Endeleeni kuomba mikoa, mimi niliomba bandari 1 nikapewa zote.
Nimewaandalia pesa kuwalainishaSahau hyo kitu haipo tena! Wale wenzetu WA Komunyo na confirimansio wametumaliza aiseee...
Waraka wa Paulo kwa wakolosai badae ukapelekwa Kwa Watethalonike likanunuliwa Pini kubwa kutokea Sisiri likauchoma kisu ya mgongo...
Mmetuharibia nyie Wakinga wa Vatican..kisa siye Waarabu...
Vyuku nyie ....Mae zenu!
On the way to Zimbabwe!
Matumboni mwa mama zetu.Mlikuwa wapi wakati nanunua Ngorongoro?
Kwa hiyo hamtaki kumegewa?Hahahaha.Wasomali ni wajanja mno. Nzega iwe mkoa jamani, watamega maeneo na mkoa wetu wa Shinyanga. Tumechoka Shinyanga na Mwanza yetu kumegwa.
Juzi wakati nanunua misitu yote pia mlikuwa hamja zaliwa?Matumboni mwa mama zetu.
Wataigawa katikati Tabora. Nzega itakuwa na Igunga, Bukene, Puge, Nkinga na Choma hizo ndizo zitakuwa wilaya za mkoa mpya. Shinyanga hatutakubali wachukue Kahama na Tinde!Hahahaha.Wasomali ni wajanja mno. Nzega iwe mkoa jamani, watamega maeneo na mkoa wetu wa Shinyanga. Tumechoka Shinyanga na Mwanza yetu kumegwa.
Una muda gani hujapita Nzega? Sasa hivi inachuana na akina Katavi! Ipewe tu hadhi ya mkoa.Nzega bado kijijini...
Nzega bado sana...bora hata kahamaUna muda gani hujapita Nzega? Sasa hivi inachuana na akina Katavi! Ipewe tu hadhi ya mkoa.