Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ni fikra potofu. Hivi nchi zenye mikoa michache sana, ina ugumu gani kwenye administration?Kuna rahisisha administration, hata Geita ilifanya Mkoa kutoka Mwanza na Chato ilikuwa mbioni, ila wana Kagera walionekana wakali kama pilipili.
Japan ina mikoa 8, kwa hiyo ina shida kwenye administration?
South Africa ina mikoa 9, sisi tumeizidi nini kwa kuwa na mikoa mingi?
Kama kungekuwa na uwezekano wa binadamu kuongezewa akili, tungekazania viongozi wetu waongezewe akili, maana huko ndiko kuliko chanzo cha magumu yote.