Kigwangalla na Bashe wamuomba Rais Samia kuanzisha mkoa mpya wa Nzega

Kuna rahisisha administration, hata Geita ilifanya Mkoa kutoka Mwanza na Chato ilikuwa mbioni, ila wana Kagera walionekana wakali kama pilipili.
Ni fikra potofu. Hivi nchi zenye mikoa michache sana, ina ugumu gani kwenye administration?

Japan ina mikoa 8, kwa hiyo ina shida kwenye administration?

South Africa ina mikoa 9, sisi tumeizidi nini kwa kuwa na mikoa mingi?

Kama kungekuwa na uwezekano wa binadamu kuongezewa akili, tungekazania viongozi wetu waongezewe akili, maana huko ndiko kuliko chanzo cha magumu yote.
 
Umefananisha Japan, South Africa na Tanzania? Haya Mkuu asubuhi njema.
 
Hahahaha.Wasomali ni wajanja mno. Nzega iwe mkoa jamani, watamega maeneo na mkoa wetu wa Shinyanga. Tumechoka Shinyanga na Mwanza yetu kumegwa.
I second you! Naona KAhama Yenu ikimegwa kabisa na mkoa wa Shinyanga ukibaki gofu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Shida ya Kahama itakuwa pembezoni sana na sisi wananchi wa mkoa wa Shinyanga hatutaki tena wamege mkoa wetu!
Wataimega kahama lazima hiyo..na huko singita, mpaka maeneo ya Ndala huko lazma wapachukue
 
Ila siasa na Hawa wapuuzi ni kama mataahira,Sasa kama Hilo ni azimio la mkoa Toka Kitambo akilisemea mmja si inatosha Sasa kwani lazima Kila mtu aonekane amelisemea?

Pili nimeona facial impression ya Kigwangala Uso hauna Nuru kabisa sijui shida yake ni nini.

Kwamba ukitenguliwa kama yule Mpina ndio unachukia Rais au? 🀣🀣🀣🀣
 
Ila siasa na Hawa wapuuzi ni kama mataahira,Sasa kama Hilo ni azimio la mkoa Toka Kitambo akilisemea mmja si inatosha Sasa kwani lazima Kila mtu aonekane amelisemea?

Pili nimeona facial impression ya Kigwangala Uso hauna Nuru kabisa sijui shida yake ni nini.

Kwamba ukitenguliwa kama yule Mpina ndio unachukia Rais au? 🀣🀣🀣🀣
 
Mbona wote wameomba kilekile
 
Umefananisha Japan, South Africa na Tanzania? Haya Mkuu asubuhi njema.

Kwani wao walizaliwa na kukuta nchi zao zipo kama zilivyo? Kama wamefika hapo bila ya kuwa na utitiri wa mikoa, kwa nini sisi tunaamini kuwa maendeleo yatapatikana kwa kuwa na utitiri wa mikoa?
 
Tatizo ni mfumo wa utawala uliopo Tanzania.
Mkoa by itself ni mamlaka yasiyo na nguvu kama ilivyo Tarafa. Yaani RAS hana effect kubwa na ya moja kwa moja kwa mwananchi kama DED au DAS.
Kama ilivyo katibu tarafa na katibu kata.
Hii inafanya wanasiasa wengi kutaka kuimega wilaya iwe mkoa ili tarafa ziwe wilaya na ziwe na nguvu zaidi kwenye budgeting na revenue collection.
 
Hadi leo sijawahi kuona umuhimu wa kuwa na utitiri wa miko kwa kigezo cha kuchochea maendeleo...

Kwani maendelo yanayotakiwa kwenye mkoa, hayawezwi kufanywa kwenye ardhi za wilaya?
 
Wabunge wetu wajue wakiachua Kahama ikienda waondoke nayo! Sasa Shinyanga itabaki na nini?
Shinyanga ndo mkoa wa kuonewa kila siku πŸ˜…πŸ˜… Viongozi mlowaweka ndo wanaowatia Doa

Shinyanga ilivyokuwa zamani kabla ya mwaka 2013 na 14..



Shinyanga ilivyogawanywa na kubaki kipunje baada ya Kuigawa wakatoa mikoa miwili SIMIYU NA GEITA..


Sahizi naona na nzega nao wameanza kuitamani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Hicho mdo kitakachobaki πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Mie nilikaa Tinde....ndio nimewajengea ile lami Nzega...Tinde....Isaka......Tinde.....Maganzo.....2004.....2006......palikuwa patamu balaaa.
Hebu njoo PMπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hahahaha Unapajua Maganzo kumbe. ENzi za Magufuli waziri wa mabarabara.
 
Yaani Shinyanga sijui wanataka iwe wilaya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…