Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Huna tofauti nahuyu mhasibu uchwara kwamba zengeli kufunga hajui
Kwa maoni yangu namuona ni hatari zaidi ktk kutengeneza magoli lakini sinktk kufunga magoli. That is me. Anagusa mipira ya hatari zaidi, anatengeneza nafasi nyingi zaidi za magoli, anakuwa ktk nafasi za kugusa mipira mingi zaidi ya hatari. Lakini si kufunga. Nimesema akikutana na kocha wa strikers akafundishwa ku strike atafunga zaidi kwa kuwa anaweza kujiposition. Inawezekana kocha kamuongezea kitu ktk inshu ya striking kwa kuwa ana basics zote za mchezaji mzuri hivyo hicho kinakuwa ni kitu kidogo sana cha kuongezea.

Mwangalie Mudathiri, ni kiungo hatari naweza kusema anawazidi wengi ingawa haimbwi sana. Unaweza ukajiuliza Azam Wana akili au matope kumuacha halafu wanabaki na bin Zaid sijui. Lakini pamoja na sifa lukuki za Mudathiri kufunga hajui. Ana basics zote za kuwa kiungo wa juu. Angalia hata faulo tu hajui au haaminiki kupiga. Hapo sasa ndo kazi ya kocha wa ufungaji au kocha wa ma straikers anaingia kazini. Nafkiri timu zetu zijifunze kitu kwa wenzetu. Ben Mcathy anasajiliwa United kwa ajili ya kuwanoa wafungaji tuu. Mudathiri, Musonda, Konkon na Moloko bado kuna kazi kwa makocha wao wa ufungaji wanatakiwa kufanya.


Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mhasibu wa kibanda cha mbege.
 
bado hujasema
yaani mpaka useme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…