Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vile Kausha Damu. 😅😅😅Muhasibu wa vicoba 😂😂😂
HahaaaaWanafunzi wangu wa uhasibu
Nipo naangalia match
Nakuja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii itakua CPA toka kwa ras SIMBA college of englishmuhasibu mwenye CPA yake kutoka SIMBA fc.
Kwa maoni yangu namuona ni hatari zaidi ktk kutengeneza magoli lakini sinktk kufunga magoli. That is me. Anagusa mipira ya hatari zaidi, anatengeneza nafasi nyingi zaidi za magoli, anakuwa ktk nafasi za kugusa mipira mingi zaidi ya hatari. Lakini si kufunga. Nimesema akikutana na kocha wa strikers akafundishwa ku strike atafunga zaidi kwa kuwa anaweza kujiposition. Inawezekana kocha kamuongezea kitu ktk inshu ya striking kwa kuwa ana basics zote za mchezaji mzuri hivyo hicho kinakuwa ni kitu kidogo sana cha kuongezea.Huna tofauti nahuyu mhasibu uchwara kwamba zengeli kufunga hajui
Hahahaaa. Kwa kweeli. 😅Naona muhasibu wetu badala ya kuchua CPA chuo wewe ukaondoka na CPU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mhasibu wa mchongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mhasibu wa kibanda cha mbege.Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
bado hujasemaUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
[emoji23][emoji23][emoji23]Asubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo
Katika maisha yetu ya kila siku kitu subra na kuacha muda uamue ni kitu muhimu sana ambacho binadamu wengi tunakikosaAsubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo
Kwa hilo sikupingi aisee! umetoa ushauri mzuri sana na kuongea maneno kuntu ambayo huwezi kudhania kama yametoka kwa Dunduka ,hayo ndio maendeleo yenyewe.....Asubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo
AaaahaaaAsubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo
umeandika huku umebedua mdomo 😁 😁 😁 😁 😁Asubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo
Asubuhi asubuhi badala ya kumpiga mashine mkeo unakuja kuhangaika na uzi. Hovyoooooo