Maradona mwamba kuliko mchezaji yoyote hata mesi au pele hawana ubavu alikosa penati .Wee mapaziaa umevurugwaaa au? Wana mjadili aziz ki kwa kukosa penalt?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Roberto baggio alikosa ,wajerumani walikosa , zidane alishakosa , bado kukosa kwa aziz ki hakupunguzi ubora wake, jana alifunga goli la ushindi bahasha na ukubwa wa motsepe vikageuza matokeo!