King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Alipataje CPA sasa?Hazikai zimesimama kiongoziππ
πππSawa mwasibu wandamizi uko vizuri sana kwa takwimu
Hahahahaha...kudadekiSisi humu ni waungwana sana mbona Uzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele kamati ya wandewa tutakubaliana kusamehe na Uzi kuuacha baada ya kuwa mpole na kutimiza masharti yetu.
Na huu tungeutelekeza angekubali kuwa alibumbwa na kuomba radhi ila Cha kusikitisha ndugu Mwasibu licha ya wazee wenye hekima wakina Tate Mkuu na Dr Matola PhD kumsihi atulie bado akawa anashusha matusi kwa wachangiaji ,kejeli pamoja na dislikes. Sasa Wandewa tukaona jamaa inabidi aendelee kupigwa spana bila kupoa mpaka akubali masharti
Hahahahaha...dahGB 64 tumetowaa Police tumempa na laki moja apunguze machungu.
Na msimu huu Aziz Ki hataki kumuacha Muhasibu apumue. π πMwaaaaaa5iiiiiiiiiiiiii leoooooooo tenaaaaaaaaaaaa
Nakusalimia Shem.Hasibu FEKI OKW CPA uchwara SUNZU BOBAN ovyo kabisa.
Vibaya mno shemela. Ngoja tuchukue kombe kabisa tuchome na mbuzi.Nakusalimia Shem.
Mwasibu alishayakanyaga. π