Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio ndio Shem.Vibaya mno shemela. Ngoja tuchukue kombe kabisa tuchome na mbuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndio Shem.Vibaya mno shemela. Ngoja tuchukue kombe kabisa tuchome na mbuzi.
😀😀😀Nikijisikiaga vibaya, atafuta huu uzi
Na msimu huu Aziz Ki hataki kumuacha Muhasibu apumue. 😅😅
Wakiufunga moto utakaowawakia hawataamini. Wauache tu maana mwasibu mwenyewe ni ngangari kweli kweli!
Uzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele baada ya watu kumuandama ,mods wakaedit heading wakatoa neno "Zinatia uchungu sana " kama humu watoe neno "Kihasibu" ambao kimsingi mashambulizi yamebase kwenye hayo maneno , mods hawakuridhika wakafuta comment nyingi mule sisi tukawa hatujui mpaka kelphin akatustua kuwa huu Uzi tayari umehujumiwa.
Uzi hauna tatizo. Ni kijiwe kizuri cha burudani hiki!Uzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele baada ya watu kumuandama ,mods wakaedit heading wakatoa neno "Zinatia uchungu sana " kama humu watoe neno "Kihasibu" ambao kimsingi mashambulizi yamebase kwenye hayo maneno , mods hawakuridhika wakafuta comment nyingi mule sisi tukawa hatujui mpaka kelphin akatustua kuwa huu Uzi tayari umehujumiwa.
Baada ya hapo tukaanzisha mgomo mule na hashtag nyingi za #BringBackOurHeading na Comments,pamoja na kuwatuhumu mods kuwa Anko Mwasibu kawapa hongo waudhoohofishe Uzi ,tukamtag mpka Maxece Melo na kutishia kuwa hatukubali sio haki walichofanya na wasipokubali matakwa yetu hatutochukulia Hilo swala kiurahisi tutawafikisha Jf pabaya.
Ilikuwa mtiti sana mpaka Mimi kiongozi wa Mgomo huo nikahisi nitatumiwa polisi kukumatwa au nitapewa Ban , akaja mod Cookie akasema kwamba Kuna siku niliwahi kusema kuwa Mods wamuhurumie wabadilishe heading inamdhalilisha na wafunge Uzi ndio maana wamefanya hivyo , nikakumbuka kuwa niliwahi kusema kweli ila kimasihara ikabidi niwaonbe radhi raia wenzangu na Uzi mods wakaurejesha kama tulivyotaka katika asili yake.
Yaani Mwa5ibu bado ana mechi sita za kuteseka hapo aombee tu Aziz Ki asifunge. . 🤣🤣🤣Jamaa ina sifa ukute inasoma huu uzi kwa kutafsiriwa kisha inatupia magoli kumkomesha mwa5ibu🤣🤣🤣
Kabisa Mzee mwenzangu yaani huwezi ingia kwenye huu uzi halafu usipate hata post moja ya kufurahisha. 🤣🤣Uzi hauna tatizo. Ni kijiwe kizuri cha burudani hiki!
Long live CPA mwasibu wetu 👏👏👏
Dada yangu samahani sana
Uhai wa huu uzi tutaulinda kwa jasho na damuDada yangu samahani sana
Nadhani mimi na wewe tunaheshimiana sana
Tafadhali,tafadhali yaani tafadhali sana
Nkichukia hua nauwa kabisa😀😀