Mawazo machafu mno yamenata kwenye ubongo. Pdidy si ana kashfa za kuingilia watu kwa kutumia vilainishi? Roho yako mbaya sana mkuu, yaani unataka mwanasimba mwenzetu, mtanzania mwenzako aingiliwe na mmarekani sababu unampenda Azizi?Mwa5ibu apelekwe kwa p diddy siku tatu tuu akirudi ujinga utaisha
Muhimu sana ,nitazingatia hilo ndugu yangu nisije kupotea.Kabisa ndugu yangu.
Hahahaa. Huo ushauri itabidi uuchuje kwa kina asije kukuingiza chaka eti.
Hii bila shaka muhasibu ameisoma kimya kimya. ππTayari assist Mapema , Mhasibu soma hiyo!!!
Ukimbana sana atakuambia utani wa jadi. Ushabiki wa hovyo.Mawazo machafu mno yamenata kwenye ubongo. Pdidy si ana kashfa za kuingilia watu kwa kutumia vilainishi? Roho yako mbaya sana mkuu, yaani unataka mwanasimba mwenzetu, mtanzania mwenzako aingiliwe na mmarekani sababu unampenda Azizi?
Ngoja nikuonesheHivi JF hakunaga LAST SEEN ili tujue mhasibu wetu aliingia JF mara ya mwisho lini?
Utani wa hovyo ni kweli.Ukimbana sana atakuambia utani wa jadi. Ushabiki wa hovyo.
Anafunga goli moja anakosa manneππππ""""
Anafunga goli moja anakosa manneππππ
Kuna shabiki wa uto ameuliza zaidi ya mashuti Aziz Ki anamzidi nini kingine Andambilwe (kummiliki Mobetto?)hadi alipwe mshahara mkubwa kiasi kile?
Jamaa anapiga shisha? Hayo mapafu yapo salama kweli?
Ye anacho jali mwisho wa mwezi 30M imeingia kwenye accountJamaa anapiga shisha? Hayo mapafu yapo salama kweli?
Hana habariππππYe anacho jali mwisho wa mwezi 30M imeingia kwenye account