Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
Mhasibu vipi kumekucha uje utudadavulie hasara ya kipa wenu mpya mrangi mmoja toka kondoa nabii ayubu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Mkuu.
Mhasibu vipi kumekucha uje utudadavulie hasara ya kipa wenu mpya mrangi mmoja toka kondoa nabii ayubu
Mhasibu vipi kumekucha uje utudadavulie hasara ya kipa wenu mpya mrangi mmoja toka kondoa nabii ayubu
akikujibu nimekaa paleTupate update kidogo mkuu bado hasara ?; au hela itajilipa ?
nadhani umeona huyo mchezo wako uliyemuandika eti ameleta hasaraUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Aliona mbali sana, na hii inatufundisha tuwe na akiba ya maneno, tuache muda uzungumze🤣Mkuu uliona mbali...[emoji1787][emoji1787]
Sijui ana shida gani huyu ndugu. Naona zinafika siku 10 hajaingia Jf.
WaRangi sio machezsji kwani?Mhasibu vipi kumekucha uje utudadavulie hasara ya kipa wenu mpya mrangi mmoja toka kondoa nabii ayubu
Itakuwa kauza tambo lake yupo ndani ya kiswaswadu , maana alisemeaSijui ana shida gani huyu ndugu. Naona zinafika siku 10 hajaingia Jf.
Kachukuliwa kua msukule,,Sijui ana shida gani huyu ndugu. Naona zinafika siku 10 hajaingia Jf.
Mnazidi kumpaisha mkuu OKW BOBAN SUNZU mpo kwenye mfumo wake.....
Na mfumo umewakubali kweli kweli...
Mchezaji wa kucheza na kuja kulinganisha na uzi...
Nilidhamiria kujipiga Ban kuwasha data katika simu ndani ya mwezi mzima ila kuna ishu kati imeharibu mpango wangu na kutakiwa nikamilishe nikiwa online ndio maana leo nimerudi rasmi.
Nilidhamiria kujipiga Ban kuwasha data katika simu ndani ya mwezi mzima ila kuna ishu kati imeharibu mpango wangu na kutakiwa nikamilishe nikiwa online ndio maana leo nimerudi rasmi.
Wakati nipo likizo nimejifungia jana wakati pasi ya kihasibu ikipigwa na Azizi Ki nikapata uchungu sana kea kudhani wahasibu hawataiona na kuiingiza katika uhasibu.
Ila Aziz K ana balaa sana.Ile pass ya Aziz[emoji360] ina dhaman ya mil 400 kupigwa