Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
nadhani umeona huyo mchezo wako uliyemuandika eti ameleta hasara
 
Mr adriz

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nilidhamiria kujipiga Ban kuwasha data katika simu ndani ya mwezi mzima ila kuna ishu kati imeharibu mpango wangu na kutakiwa nikamilishe nikiwa online ndio maana leo nimerudi rasmi.

Wakati nipo likizo nimejifungia jana wakati pasi ya kihasibu ikipigwa na Azizi Ki nikapata uchungu sana kea kudhani wahasibu hawataiona na kuiingiza katika uhasibu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unafiki kwenye moja na mbili
 
Back
Top Bottom