Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Naona Uzi umefufuka kwa kasi
 
Uzuri was hu mchezo unafanyika hadhalani kila mtu anaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah mkuu
 
IMG_0220.jpg

OKW BOBAN SUNZU vile anachungulia uzi
 
Back
Top Bottom