Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Mchango wa Aziz Ki ni mkubwa sana. Bila goli lake Club Africain, Yanga isingepata nafasi ya kufika fainali. Hata kwenye mechi za ligi amshachangia sana ingawa kuna wakati alikuwa kama anadorola lakini kila mara alikuwa anatoa mchango mkubwa pamoja kuonekana kudorora.
 
Mchango wa Aziz Ki ni mkubwa sana. Bila goli lake Club Africain, Yanga isingepata nafasi ya kufika fainali. Hata kwenye mechi za ligi amshangania sana ingawa kuna wakati alikuwa kama anadoroala lakini kila mnara alikuwa anatoa mchango mkubwa pamoja kuonekana kudorora
Wengi hua wanasahau hata like Goli lake dhidi ya Simba msimu uliopita round ya Kwanza ndo lilitupa njia ya ubingwa inamaa tungefungwa Ile game tusingekua Mabingwa
 
Hali ya muhasibu kwa sasa
images (65).jpeg
 
Back
Top Bottom