Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mpaka siyo poa yaani.MUhaSibu jitokeze uombe radhi humu huenda raia watakusamehe..
Mwasibu aliyataka mwenyewe maana kule mwanzoni kabisa kuna wakurungwa walimuonya kuwa aachane na hii tabia ya kukurupuka na kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu.