Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Screenshot_20240522-171611.png
 
Hivi kwanini Azizi ndo mchezaji hapo Utopoloni anaongozana sana na Injinia kwny matukio na Ali kamwe?.yani matukio matukio ya Hafla nyingi utamkuta yy na Ali kamwe.. why not wachezaji wengine?
Jana alikuwepo kwny tukip la cheka tuu

Nje ya mpira kuna marafiki huenda hao ndo marafiki sawa we dada mbumbumbu.
 
Huu
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Huu ni uhasibu wa dunia gani?sehemu ya pili umebugi mkuu huwezi kudebit tena registration fee
 
Back
Top Bottom