Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Mwaseeeeeeeeebuuuuuuu
Wa mchongo


 
Mwaseeeeeeeeebuuuuuuu
Wa mchongo
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?

Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong

Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Kambole anaweza kuwa bora mara 2 ya Azizi Ki
Bila kujali ushabiki, Yanga walipigwa.
Labda mpuuzi mama yako. Huna mamlaka ya kunipangia maoni. Huyo mchezaji wenu mkitaka tusimtolee maoni mwambieni akacheze uvunguni mwa aliyemsajili. Ila akicheza huku public tutamuandika tu
 
Kiatu cha mwasibu au Fei Toto?

Screenshot_20240528_194024_WhatsApp.jpg

IMG-20240528-WA0096.jpg
 
Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Kila nikikumbuka hii comment kwenye huu uzi, Namuona huyu mbwa aliyeandika ni kichaa. Na nilimvua nyota hapa.
Mimi ni Simba ila aliponda sana. Aziz kuachana na kuchukua kiatu. Dogo yuko fit and smart. Kuna muda nilimuona kama Mtanzania anayepambania timu ya nyumbani. Najisahau kabisa kwamba aziz ni mtu wa nje ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom