Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
😂😂😂Kaka muonee huruma unapiga mshono😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kaka muonee huruma unapiga mshono😃😃😃
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Kambole anaweza kuwa bora mara 2 ya Azizi Ki
Bila kujali ushabiki, Yanga walipigwa.
Labda mpuuzi mama yako. Huna mamlaka ya kunipangia maoni. Huyo mchezaji wenu mkitaka tusimtolee maoni mwambieni akacheze uvunguni mwa aliyemsajili. Ila akicheza huku public tutamuandika tu
🤣🤣Mwaseeeeeeeeebuuuuuuu
Wa mchongo
Arusha: Wahasibu mbaroni kwa kutoa risiti bandia za EFD za mapato ya Serikali
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD. Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...www.jamiiforums.com
😅😅
Kila nikikumbuka hii comment kwenye huu uzi, Namuona huyu mbwa aliyeandika ni kichaa. Na nilimvua nyota hapa.Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂Ila watuu
Sasa mmefika mbali😅Mwasibu roboti Eunice