Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kila nikikumbuka hii comment kwenye huu uzi, Namuona huyu mbwa aliyeandika ni kichaa. Na nilimvua nyota hapa.
Mimi ni Simba ila aliponda sana. Aziz kuachana na kuchukua kiatu. Dogo yuko fit and smart. Kuna muda nilimuona kama Mtanzania anayepambania timu ya nyumbani. Najisahau kabisa kwamba aziz ni mtu wa nje ya Tanzania.
Haina haja ya kuitana mbwa kaka, Mwasibu mtu poa sana hapa tunachangamsha jukwaa tu.
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Mwasibu wa mochwari rudi shule tafadhari.
 
Kaka kiatu anabeba feisal

Tumekiona kiatu cha fei....
IMG-20240529-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom