Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe alikili jamani😅Upepo umegueka
Haina haja ya kuitana mbwa kaka, Mwasibu mtu poa sana hapa tunachangamsha jukwaa tu.Kila nikikumbuka hii comment kwenye huu uzi, Namuona huyu mbwa aliyeandika ni kichaa. Na nilimvua nyota hapa.
Mimi ni Simba ila aliponda sana. Aziz kuachana na kuchukua kiatu. Dogo yuko fit and smart. Kuna muda nilimuona kama Mtanzania anayepambania timu ya nyumbani. Najisahau kabisa kwamba aziz ni mtu wa nje ya Tanzania.
SawaHaina haja ya kuitana mbwa kaka, Mwasibu mtu poa sana hapa tunachangamsha jukwaa tu.
Naunga mkono hoja. Uje utumiwe kwenye mitaala ya kufundishia Psychology hasa kipengele cha Self Worthy, Self Respect na Kutokukurupukaring 😁Huu uzi uwekwe Maktaba ya taifa kwa maslahi mapana ya taifa
N.B
Tuache kukukurupuka
😂😂😂Ngoja nimtag aje kugawa dislikes kama njugu
Cc : OKW BOBAN SUNZU MWASIBU SELE
Yaani kama ni kwenye kampuni au shirika KPI ya kwanza tu nje.Huyu mwasibu akamatwe afungwe kwa kuudanganya umma
Mkuu nimecheka sana yaani Lol.Mwasibu roboti Eunice
Huyu sio Muhasibu ni kijumbe
Mwasibu wa mochwari rudi shule tafadhari.Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Kama huyu ndo mwasibu anayetegemewa kazi ipoYaani kama ni kwenye kampuni au shirika KPI ya kwanza tu nje.
Kabisa kabisa tunasubiria utekelezaji.....teh teh..OKW BOBAN SUNZU wewe ni kilaza, tunaomba uongozi wa jf watengue hiyo beji yako ya Platinum member
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumekiona kiatu cha fei....View attachment 3002626