Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Bado hujasema, usichokijuwa huyu alifikia hatuwa ya kuweka Uzi wa takwimu za Mayele Vs Kibu Denis.

Salama yake ni Mayele kuondoka Yanga ndio ameachwa apumuwe, ilikuwa kila Mayele akitetema tunamuwekea takwimu kwenye Uzi wake.

Yani jitu linalotumia maguvu bila akili kama Kibu Denis umfananishe na Mayele wa Yanga ni kuukosea adabu Mpira wa miguu.

Huyu Acha anyooshwe mpaka anyoroke.
Mayele huyuhuyu na Kibu Denis?
FB_IMG_1723412277971.jpg
 
Yanga 4
Azam 1
Aziz Key kafunga moja
Naweka kumbu kumbu sawa Leo tarehe 11.08.2024.
Tukutane game ijayo Muhasibu wa Taifa.
Aaahhh wapi hasibu feki la dunia CPA uchwara SUNZU BOBAN ovyo kabisa. Haliwezi kuja, tuweke rekodi tu.
 
Back
Top Bottom