Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Jamaa kiburi Mimi nilimsihi Hilo tokea siku za akabisha nikaufufua huu uzi na kuuActivate siku ambayo tuliyowafunga Club African na kuingia makundi shirikisho.

Nikamsihi tena baada ya kumpiga spana , jamaa akawa mbishi akawa anakuja kudhihaki humu eti sisi majobless hatuna mishe za maana Wala wake ,asubuhi baada ya kutulia na wake zetu tunakuja kujazana humu.

Ikiwa tukimtag Mwasibu wetu OKW BOBAN SUNZU aombe radhi anakuja kibabe kutoa dislikes humu.
Mhasibu anahesabu hela za ki
 
Mwasibu aje ajitokeze hata kwa kutoa dislikes humu
 
Vipo
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Accounti

Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Bro umekurupuka we mhasibu WA mchongo 😀😀vipi Azizi Ki anaendeleaje?
 
Watu wakorofi sana mwenye Uzi hautaki uzi wake tena niliposoma huu uzi kwa mara kwanza nilishangaa sana sijui mzala aliwaza nini aisee..uzuri mpira sio siasa unaonekana kiwanjani hesabu zake lazima zigome.
 
Back
Top Bottom